Ana F ya stand up comedy, yaani hajui na hana anachokijua, siku moja kwa bahati mbaya niliona clouds wanampigia promo, yaani sikumwelewa hata kidogo anakazi ya kuwarusha waheshimiwa kama mkongo, mara ooh namuona mdogo wangu wakonda, kidogo wapi swahiba wangu Riz one mzee wa chalinze. Japokuwa mimi mwenyewe mtanzania lkn Eric Omond anajua, mimi Omond hata asipo ongea asimame tu lazima nitacheka. Muoneeni huruma hali sasa hivi ni mbaya mkuu wa kaya anatunyoosha, waheshimiwa wamebanwa manake ndio wateja wake wakubwa kwa kuwaunganusha na bongo movie , lzm atatafuta fani, lkn fani ya stand up comedy haiwezi. East Africa ukimtoa Omondi wa pili kansiime.