Steve Nyerere amvaa tena Lulu

Ila nilisikia mwenyewe alikataa watu, kwa madai kuwa wanaenda kumsanifu...

Ofcoz huo ni ukweli wengi ni wanafiki wangejifanya wanamuonea uchungu kumbe wanamchora na kujichekea mioyoni mwao. Binadamu wanamengi moyo wa mtu Kichaka.
 
Ofcoz huo ni ukweli wengi ni wanafiki wangejifanya wanamuonea uchungu kumbe wanamchora na kujichekea mioyoni mwao. Binadamu wanamengi moyo wa mtu Kichaka.

Yah kama huyo maya mnafiki sana alijifanya kwenda selo kumngonga tu , maana alikuwa rafik sana na marehem
 
Huyu Stevie Nyerere mbona mpayukaji sana,sasa hayo ndiyo masuala ya kuongea kwenye Media mpuuzi huyu?Bongo Movie ndiyo maana inadharaulika unakuwaje na Kiongozi Bogasi kama huyu,Personality hana akili hana mfupi kama mbilimbi sura mbaya yuko very disorganised hajielewi..Bongo Movie Bongo ushuzi ptuh!nkalale zangu mie!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Jina lenyew la kihuni eti bongo movie , yaan limekaa kihun huni , nadhan wangeanza kwanza kushugulikia hili jina la bongo movie huenda tatizo likawa apo kwenye jina
 
mmh ata sikumbuk ila najua ana movie kama tano tu za kwake mwenyew na sidhan kama zilifanya vizur sokoni

Ana filamu aaaggghh sio filamu ni home video moja inaitwa "Leaders 7 am"

Huyu jamaa almost kila nikiibuka leaders asubuhi namuona. Ndio ofisini kwake pale?
 
Ana filamu aaaggghh sio filamu ni home video moja inaitwa "Leaders 7 am"

Huyu jamaa almost kila nikiibuka leaders asubuhi namuona. Ndio ofisini kwake pale?

Mmh pal n kama meeting place y wasanii kweny masual yao ya uigizaj, movie audition n mikutano yao ya ajabu ajabu
 
Audition kila siku? kwani kampuni za filamu hazina ofisi maalumu?

Kuna msanii mwenye kampuni ya kueleweka kama johar n ray(RJ)? , the rest hawan office jb mwenyew han ofisi .
 

Mara ya kwanza nljiulza kuhusu jinsia yako
 
Si umeona lulu alivyojibu , Kasema wamuache n maisha yake, naona kajifunza alivyoingia jela , maana hakuna aliyemsaidia kama Dr Chen n familia yake so hata wasipoudhuria kwenye matatizo yak anaona poa tu maana hat alipokuwa jela hawakujishughulisha

Safi sana, haya ndo maisha, kila mtu na mpango wake
 
Mtoto mwacheni asome kila akitembea hana amani mimacho yote kodooo
 
atakua anajiandaa kutoa movie
sasa anajifanyia promo
 
Hivi we warumi ni me au ke....u real are disgustn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…