Steve Nyerere amvaa tena Lulu

Steve Nyerere amvaa tena Lulu

Ofcoz huo ni ukweli wengi ni wanafiki wangejifanya wanamuonea uchungu kumbe wanamchora na kujichekea mioyoni mwao. Binadamu wanamengi moyo wa mtu Kichaka.

Yah kama huyo maya mnafiki sana alijifanya kwenda selo kumngonga tu , maana alikuwa rafik sana na marehem
 
Huyu Stevie Nyerere mbona mpayukaji sana,sasa hayo ndiyo masuala ya kuongea kwenye Media mpuuzi huyu?Bongo Movie ndiyo maana inadharaulika unakuwaje na Kiongozi Bogasi kama huyu,Personality hana akili hana mfupi kama mbilimbi sura mbaya yuko very disorganised hajielewi..Bongo Movie Bongo ushuzi ptuh!nkalale zangu mie!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Huyu Stevie Nyerere mbona mpayukaji sana,sasa hayo ndiyo masuala ya kuongea kwenye Media mpuuzi huyu?Bongo Movie ndiyo maana inadharaulika unakuwaje na Kiongozi Bogasi kama huyu,Personality hana akili hana mfupi kama mbilimbi sura mbaya yuko very disorganised hajielewi..Bongo Movie Bongo ushuzi ptuh!nkalale zangu mie!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Jina lenyew la kihuni eti bongo movie , yaan limekaa kihun huni , nadhan wangeanza kwanza kushugulikia hili jina la bongo movie huenda tatizo likawa apo kwenye jina
 
mmh ata sikumbuk ila najua ana movie kama tano tu za kwake mwenyew na sidhan kama zilifanya vizur sokoni

Ana filamu aaaggghh sio filamu ni home video moja inaitwa "Leaders 7 am"

Huyu jamaa almost kila nikiibuka leaders asubuhi namuona. Ndio ofisini kwake pale?
 
Ana filamu aaaggghh sio filamu ni home video moja inaitwa "Leaders 7 am"

Huyu jamaa almost kila nikiibuka leaders asubuhi namuona. Ndio ofisini kwake pale?

Mmh pal n kama meeting place y wasanii kweny masual yao ya uigizaj, movie audition n mikutano yao ya ajabu ajabu
 
Audition kila siku? kwani kampuni za filamu hazina ofisi maalumu?

Kuna msanii mwenye kampuni ya kueleweka kama johar n ray(RJ)? , the rest hawan office jb mwenyew han ofisi .
 
Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta Lulu ya kutojumuika nawenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera klabu ya Bongo Movie Unity hivyo kuandaa kikao maalum cha kumkanya.

Habari kutoka kwa chanzo chetu makini, zilidai kwamba malalamiko hayo ya kuwa Lulu amekuwa mzito kuhudhuria shughuli za wenzie kama misiba au hata sherehe zilianza tangu alipotoka gerezani. Ilisemekana kwamba kilichosababisha viongozi wa Bongo Muvi kukasirishwa na kuamua kumweka kikao ili kumsema, ni kwamba ipo sikunaye yatamfika.

Baada ya kuzinyaka, Risasi Mchanganyiko lilimtafuta Mwenyekiti wa Bongo Movie Steven Mengere, Steve Nyerere ambaye alikiri kuwepo kwa ishu hiyo ili kumuonya kwa tabia yake hiyo kwa kuwa yeye bado mdogo.

Alisema Lulu anatakiwa afuate nyayo za wakubwa zake ambao wamekuwa wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali kwa kuwa ipo sikunaye yatamfika.
Lulu ni mtoto mdogo, hatushindi kwa lolote, lazima tumwambie ukweli kuhusu dunia ilivyo na maisha yanavyokwenda.

Sisi kama Bongo Movie tuna kawaida yakuhudhuria shughuli za wenzetu pale inapobidi lakini kama mtu anakuwa na udhuru huwa anatoa taarifa lakini yeye hana kawaida hiyo,anajiona amekamilika.

Naaamini ipo siku na yeye yatamfika kwa kuwa mitihani ni kawaida kwa binadamu, sidhani kama mtu atajitokeza na kumuunga mkono kwa tabia hiyo na siyo yeye tu anayejitenga, wapo nawengine wengi lakini yeye bado ni mdogo kwetu huenda hajui alitendalo ndiyo maana tunataka tumfunze jinsi ya kuishi na watu,” alisema Steve.

Kwa upande wake Lulu alipotafutwa na kuulizwa juu ya jambo hilo hakuonesha mshtuko bali aliwaka: “Huyo aliyesema hivyo atajijua mwenyewe mimi sina shughuli na mtu, aachanena mimi.

Mara ya kwanza nljiulza kuhusu jinsia yako
 
Si umeona lulu alivyojibu , Kasema wamuache n maisha yake, naona kajifunza alivyoingia jela , maana hakuna aliyemsaidia kama Dr Chen n familia yake so hata wasipoudhuria kwenye matatizo yak anaona poa tu maana hat alipokuwa jela hawakujishughulisha

Safi sana, haya ndo maisha, kila mtu na mpango wake
 
Mtoto mwacheni asome kila akitembea hana amani mimacho yote kodooo
 
atakua anajiandaa kutoa movie
sasa anajifanyia promo
 
Back
Top Bottom