pamoja na kwamba wengi wanamnanga hapa lakini kuna ukweli,nguvu ya bongo fleva inashuka sijui watanzania wanachanganyikiwa na maisha ya magufuli au sijui ni nini? maana bongo movie,taarab,mziki wa dansi ishajifia,huku nako bongo fleva hakueleweki wakitoa nyimbo hakuna mtikisiko kabisa kama zamani