Steve Nyerere awageukia Wasanii ambao hawakwenda kumfariji Rais Samia

Steve Nyerere awageukia Wasanii ambao hawakwenda kumfariji Rais Samia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Steve Nyerere ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao, amewageukia wasanii kutoenda Zanzibar kumfariji Rais Samia ilhali ndiyo kundi kubwa ambalo hushiriki kwenye kampeni na mikutano mbalimbali za Serikali
​
"Nilitamani kuona pale wasanii nguli wameenda pale Zanzibar kumpa mama mkono, au kwenda kushirikiana tu na familia. Nilitamani kuona makundi mbalimbali ya waigizaji..."- Amesema Steve Nyerere

 
Back
Top Bottom