Steve Nyerere awajibu wanaolalamika pesa za msiba wa Masogange

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
[HASHTAG]#SteveNyerere[/HASHTAG] amewajibu watu wanaolalamika kuhusu pesa za rambirambi za msiba wa [HASHTAG]#Masogange[/HASHTAG] kutofika kwa familia na kuwaambia mchango ulikuwa wa mtoto wa marehemu na zitamsaidia kwa ada na anashangaa watu wanavyolalamika kuhusu mchango huo kutowafikia mkononi wakati ata arobaini bado na kawasisitizia kwa kusema utaratibu utafanyika na pesa hizo zitafanya shughuli za mtoto na sio kupewa mtu mkononi
 
Steve mzee wa kunyapia nyapia misiba haya kila la heri .... hope utamtunza mwana kwa hizo za rambi rambo
 
kwani yeye ni baba wa mtoto...
KUNA JINGINE LILIZIMIA LAKINI LESO LIMESHIKILIA HAN-'''IT.....H.I LILE LILIKAA NA DEMU MKALI VILE BILA KUMZALISHA.... jinga sana madume suruali ya bongo movie..... MTOTO MKALI LINALALA NAYE CHUMBA KIMOJA ZAIDI YA MWAKA HALIJAMZALISHA SIJUI KWA NINI.... ona sasa amekufa eti rambirambi mnajipendekeza kwa mtoto wa marehemu wakati ana baba yake ambaye hana undugu na bongo movie na mtoto atasomeshwa bure taarifa tunazo...

HIZO PESA PELEKA KWA FAMILIA HARAKA SANA, AU MPENI YULE DUME ALIYE NA MTOTO WAKE MAANA YEYE NDIYE MZAZI WA HUYO MTOTO MSIJIFANYE MNMJALI SANA MTOTO AMBAYE HANA NDUGU BONGO MOVIE.
 
Yaani huyu mpiga deal wa ccm kila msiba unamhusu na anakua na kiherehere cha kuratibu ili apige pesa!mwenye uchungu na mtoto ni ndugu za marehemu siyo wewe comedian!Unasubiri arobaini ili utoe pesa, kwani umeambiwa kila mtu ni mzaramo?maana hata kidini hakuna kitu arobaini
 
Ukiwa mbongo muvi omba usije ukafa mazishi yako yakasimamiwa na wabongo muvi wenzio yaani lazima wapige rambirambi za familia yako.

Huyu anajibu kama mwanasiasa fulani hivi uchwara,rambirambi ndiyo ni za mtoto wa marehem je wewe umezihifadhi wapi na kam nani maana ingetegemea wakati anajibu hivyo atoe na ushahidi kwamba account ya mtoto hii hapa na imeandikwa jina lake kweli.

Hizo hela kwanini asipewe babu yake akazitunza ina maana anajiona muaminifu zaidi ya huyo mzee ambaye ni mjukuu wake?haingii akilini kabisa hii!
 
Haka kajama ipo siku kataingia kwenye 18 za wajanja wenzake,katalia kweli! Kuna msiba pia kaliramba hadi Paul Makonda kipindi akiwa DC Kinondoni alikaokoa na dhahama za wafiriwa!!!
 
Mmhh!Mbona hamkusema haya wakati watu wanachanga?Kwa mujibu wa ndugu wanasema mtoto walikua wanamsupport wao hata kama mama yake alikua hai.Nani atathibitisha kuwa ni kweli mmepeleka hiyo pesa mnaposema hela hatapewa mtu mkononi kwahiyo Stive na genge lako mmejipa ulezi wa huyo mtoto?
Mngewaambia wachangaji kama mambo yatakua hivi im sure watu wasingechanga! acheni ubabaishaji basi mngewaambia hao ndugu hiyo mipango yenu ndugu wasingewakana.
 
Huyu mzee Steve Mengele mwizi sana wa rambirambi!
 
Oooh sasa hivi steve atalia simnajua ebu mwacheni mwenzenu atalia sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…