radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
[HASHTAG]#SteveNyerere[/HASHTAG] amewajibu watu wanaolalamika kuhusu pesa za rambirambi za msiba wa [HASHTAG]#Masogange[/HASHTAG] kutofika kwa familia na kuwaambia mchango ulikuwa wa mtoto wa marehemu na zitamsaidia kwa ada na anashangaa watu wanavyolalamika kuhusu mchango huo kutowafikia mkononi wakati ata arobaini bado na kawasisitizia kwa kusema utaratibu utafanyika na pesa hizo zitafanya shughuli za mtoto na sio kupewa mtu mkononi