Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Mbona watu wanaotumika kutetea DP WORLD ni duni sana !Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
Wenye akili si mmekataaMbona watu wanaotumika kutetea DP WORLD ni duni sana !
ShtukaHawa watu vipi kwani
halafu ni lazima wote wahongwe safari ya Dubai na wala si kwingine !Wenye akili si mmekataa
Hofu yangu ni hiyo hongo ,ya mwarabu kwa mswahilihalafu ni lazima wote wahongwe safari ya Dubai na wala si kwingine !
Iko hiviMambo ya maana wanaleta waigizaji.
kuna ukweli ndugu,sikupingi.Iko hivi
1.Watanzania wengi ni wajinga ,
2.Watanzania wengi wanaaminni mitandao
3.Watanzania wengi wanaamini watu maarufu
4.Wasanii hao wana wafuasi wengi ( watanzania)
5.kupitia hayo hapo juu ni rahisi kuwatumia hao waigizaji
Huo ndio ukweli kakakuna ukweli ndugu,sikupingi.
Ndiyo maana Watanzania mnafananishwa na CambodiaSteve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
Dubai umri fulani pombe unapigaHivi hizo kanzu wanalazimishwa kuvaa