Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je Wamefanikiwa ? kwa Utafiti nilioufanya hata wale wabongo wanaoitwa wajinga wamepinga moja kwa moja mkataba wa kuuza bandari , hadi nimeshangaa !Iko hivi
1.Watanzania wengi ni wajinga ,
2.Watanzania wengi wanaaminni mitandao
3.Watanzania wengi wanaamini watu maarufu
4.Wasanii hao wana wafuasi wengi ( watanzania)
5.kupitia hayo hapo juu ni rahisi kuwatumia hao waigizaji
Ombwe la uongozi linaonekana wazi. Unapoona chawa wanaongoza mjadala wa kitaifa nchi imepotea.Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
Yawezekana hata anayewatuma ni duni sana kichwani.Mbona watu wanaotumika kutetea DP WORLD ni duni sana !
du!!!! wahuni wantumika!!Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
Kosa kubwa, ni kwamba wametaka kushindana na hali halisi kwa picha za uongoJe Wamefanikiwa ? kwa Utafiti nilioufanya hata wale wabongo wanaoitwa wajinga wamepinga moja kwa moja mkataba wa kuuza bandari , hadi nimeshangaa !
Mwisho wa siku wanabanduliwa we unadhani hapo Steve ana marinda?Hofu yangu ni hiyo hongo ,ya mwarabu kwa mswahili
Ooooh ,Mwisho wa siku wanabanduliwa we unadhani hapo Steve ana marinda?