Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
hii avatar nimeizoea kwa Nyani Ngabu basi nikadhan ngabu amebadili usernameHako kajamaa bana...huwa nakaona kama sisimizi vile...
Yupo sahihi, tujiulize mambo gani ambayo makonda kayaanza na akayamaliza kwa kufanikiwa
Duh, sipo huko, usinisababishie bun weekend ndo inaanzasio makonda tu, nipe kiongozi yeyote nchi hii unayemfahamu
au ushapokea kibwagizo unaimba sasa.....
sorry heb nieleweshe fresh umemanisha nini, inaonekana kuna madini unataka kuyatoaAnamshika kalio mfee wa foolmagu huyu jamani. Maana bashitr s mke mwenzie mama Jane!
Huyu naye. Makonda kafanya katika eneo lake kwa kuwa ni tatizo. Hao wengine nao watafanya endapo litakuwa ni tatizo huko kwao.Steve Nyerere amedai kuwa kupigania Bongo movie dhidi ya maharamia wa filamu feki ni batili na za kujitafutia umaarufu kwa kuwa hilo ni suala la kitaifa linalotakiwa kuratibiwa nchi nzima na wakuu wote wa mikoa na polisi na sio Dar tu kwa kuwa vitu vingi vinavyovyoanzishwa hapa Dar vinafeli,
Pia alisema pia Makonda aliwaita watu watano, na tasnia ya filamu haiongozwi na watu hao
Mkoa kama Mbeya uwaletee sheria za ajabu ajabu unatafuta vurugu na wamachinga ? macho ni ya kwetu,hela ni zetu hakuna wa kutupangia ninunue filamu ganiHuyu naye keshaanza ubwege. Makonda kafanya katika eneo lake kwa kuwa ni tatizo. Hao wengine nao watafanya endapo litakuwa ni tatizo huko kwao.
Hii kitu inakera sn avatar zipo nyingi lkn utashangaa mtu anakuja kuidandia hata mm iliishanitokea.hii avatar nimeizoea kwa Nyani Ngabu basi nikadhan ngabu amebadili username