Steve Nyerere: Harakati za Makonda kwa Bongo movie ni batili na za kujitafutia umaarufu

Steve Nyerere: Harakati za Makonda kwa Bongo movie ni batili na za kujitafutia umaarufu

Mchapakazi Paul Christian Makonda anaweka mchango wake kwenye himaya yake i.e. Dar Es Salaam, sasa habari ya wakuu wa mikoa nchi nzima inatoka wapi tena.? Kwa hiyo Makonda ndio azunguke nchi nzima kuwahamasisha wakuu wa mikoa.?
Huyu Steve Nyerere ana elimu gani hawezi kuchambua hata hii dhana.

Kwa hiyo kwa akili ya Steve, Makonda asipambane na uhalifu wa kazi za wasanii jijini Dar mpaka Rais au Waziri mwenye dhamana atamke.? hapa Steve kapotoka. kila jambo huwa lina chanzo chake, mbona zoezi la ukaguzi wa silaha lilianzia Dar kwa Mchapakazi Paul Christian Makonda, na baadae likasambaa nchi nzima..?? Steve nadhani hafikilii vizuri.

Anyways, namkumbusha tu Steve, Mchapakazi Paul Christian Makonda, amekuwa sababu au chachu kubwa ya kuchochea baadhi mambo hapa Tanzania na baadae yanasambaa nchini kwa msukumo tofauti na uliokuwepo kabla.

Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni. la sivyo na nyie mtapata dhambi ya kumdhulumu haki yake.

Rejea: Ukaguzi wa Silaha na Kampeni ya Dawa za kulevya.
DAB
 
Tangu mama wema akakomeshe naona kuna nati zimelegea kichwani kwake maana siku hizi kanaropoka pumba tuu sijui posho zote kalizokua kanapokea zimekatwa!!!malipo ya unafiki hayo.
Sasa apo kosa lake liko wap??ata kama kakosea but hayo ni mawazo yake ambayo yanadhihirisha ukwel,,toka lin wew mtu akazuiliwa katka soko la biashara bila ya kuekewa economic sunction???unapoandika fikiria sio kukrupuka kama umetoka kunyaa axee
 
15801840_367686433589825_4724376240763437056_n.jpg

Sasa apo kosa lake liko wap??ata kama kakosea but hayo ni mawazo yake ambayo yanadhihirisha ukwel,,toka lin wew mtu akazuiliwa katka soko la biashara bila ya kuekewa economic sunction???unapoandika fikiria sio kukrupuka kama umetoka kunyaa axee
 
Huyu alicheza rafu mwenyewe Magufuli aliposhinda nasikia akaitwa akauliza wafanyiwe nini kuhusu movie zao akasema wasifanyiwe chochote maana hawajielewi sasa hapo analialia nini
 
Steve Nyerere amedai kuwa kupigania Bongo movie dhidi ya maharamia wa filamu feki ni batili na za kujitafutia umaarufu kwa kuwa hilo ni suala la kitaifa linalotakiwa kuratibiwa nchi nzima na wakuu wote wa mikoa na polisi na sio Dar tu kwa kuwa vitu vingi vinavyovyoanzishwa hapa Dar vinafeli,
Pia alisema pia Makonda aliwaita watu watano, na tasnia ya filamu haiongozwi na watu hao

Huyu toka amwage michozi hadharani nimemdharau
Haaminiki,yeye ni pesa tu
 
Mimi naangalia Nigerians movies kwenye U-Tube
 
Back
Top Bottom