Steve Nyerere: Kikwete alinisisitiza nisome, niache kuuza Big G

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.

Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza big G zangu. Kikwete aliniambia kwanini siendi shule. Kikwete aliniambia kuwa anataka nisome. Kipindi hicho nilikuwa naitwa Steve Big G" - Steve Nyerere

20240306_185337.jpg
 
Ameona wauza big G na kahawa wangapi mpaka akomae na wewe tu. Haya bwana tivuu big G
 
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.

Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza big G zangu. Kikwete aliniambia kwanini siendi shule. Kikwete aliniambia kuwa anataka nisome. Kipindi hicho nilikuwa naitwa Steve Big G" - Steve Nyerere

View attachment 2926336
Steve Nyerere anaishi vizuri kwa kuendesha maisha yake kijanjajanja.
 
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.

Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza big G zangu. Kikwete aliniambia kwanini siendi shule. Kikwete aliniambia kuwa anataka nisome. Kipindi hicho nilikuwa naitwa Steve Big G" - Steve Nyerere

View attachment 2926336
Ulisoma sasa. Au ulikaidi?
 
Huyu ndio alitaka vinywaji vya bei mbaya wakati wanapelekwa South Korea na Rais?
 
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.

Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza big G zangu. Kikwete aliniambia kwanini siendi shule. Kikwete aliniambia kuwa anataka nisome. Kipindi hicho nilikuwa naitwa Steve Big G" - Steve Nyerere

View attachment 2926336
Watu wa hovyo kama hawa huwa wanawapa air time ya nini?
 
Mtoa ushauri mwenyewe hakua na kichwa cha shule.
 
Back
Top Bottom