Alikuwaga kuwadi tuKumbe ameanza kutafunwa muda huyu jamaa. Sawa Steve Big G
Duuh"Alikuwa anaitwa tivuu big g"
puuaa puuuaaa puuuuaaa
Steve Nyerere anaishi vizuri kwa kuendesha maisha yake kijanjajanja."Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.
Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza big G zangu. Kikwete aliniambia kwanini siendi shule. Kikwete aliniambia kuwa anataka nisome. Kipindi hicho nilikuwa naitwa Steve Big G" - Steve Nyerere
View attachment 2926336
Ulisoma sasa. Au ulikaidi?"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.
Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza big G zangu. Kikwete aliniambia kwanini siendi shule. Kikwete aliniambia kuwa anataka nisome. Kipindi hicho nilikuwa naitwa Steve Big G" - Steve Nyerere
View attachment 2926336
Watu wa hovyo kama hawa huwa wanawapa air time ya nini?"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.