Steve Nyerere: Mimi sijaigiza sauti za Mbowe na Wema, sio kwa kiingereza kile..

Steve Nyerere nikikumbuka Kituko ulichokifanya kwa Bosi wa Mashujaa Band Mama Sweya December mwaka 2012 pale Leaders Club tulipokuwa tunaserebuka na show ya Wenge Musica BCBG huku ukiwa na Mshkaji wako mkubwa Haji Londa ( Mtoto wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni ) leo hii nikiyasikia haya unayohusishwa nayo hata sishangai. Kikubwa ninachokushauri tu tafuta Mdhamini haraka sana uanzishe angalau ka ji Chuo ka Utapeli, Janja Janja na Usanii uliotukuka naamini utapiga mno Hela na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Mama wa Watu Sweya pamoja na ule Ujanja wake wote lakini siku ile ulimuingiza mjini pale pale Leaders Club kabla hata ya Kuzimia na ulipoingia nae katika ile Gari kumkimbiza Hospitalini. Halafu hoja yako kuwa sijui huwa huigizi Sauti za Viongozi wa Upinzani nadhani ni nyepesi mno Kwetu na wala haina mashiko. Hivi Wewe Steve Nyerere kuna kinachokushinda hapa mjini? Wadanganye wasiokujua.
Mkuu nimeshakujua fika, nilikuwa nakusoma tuu ila sasa nshakujua vyema.

Ila amini, Steve hajausika kabisa na hii audio. Wamtafute yule mtaalamu wa sauti ya Ben mkapa huyo ni nyoko
 
Nakukumbusha tu mkuu mmiliki wa mashujaa band ni papaa maisha na mkewe kwa jina maarufu anajulikana kama mama sakina.

Na sio uyo mama sweya.

Endelea kufanya Utafiti wako Mkuu na kwa kukusaidia tu huyo Sakina ni Binti yake mkubwa ila Yeye anaitwa Mama Hellen Sweya zamani alikuwa ni Boss TBL hadi alipokuja kuondoka hapo miaka ya mwishoni mwa 2000. au unataka nizidi tena kutiririka na kuserereka zaidi ya hapa kumhusu Mama Sakina ( jina halisi Mama Hellen Sweya? ) Watu wa Breweries pale Mchikichini wanamfahamu Kindakindaki huyu Mama.
 
Mkuu nimeshakujua fika, nilikuwa nakusoma tuu ila sasa nshakujua vyema.

Ila amini, Steve hajausika kabisa na hii audio. Wamtafute yule mtaalamu wa sauti ya Ben mkapa huyo ni nyoko

Mbona hata Mimi Mkuu nilikujua tu siku ile ile umejiunga rasmi JF ila nikawa nakuchunia kimtindo? Usijidanganye kuwa unaweza kumjua GENTAMYCINE kiuhalisia wake halafu Yeye asiwe anakufahamu. Mimi ni zaidi ya Binadamu wa kawaida Mkuu hadi sometimes Mimi mwenyewe najiogopa kwani Mwenyezi Mungu kanizawadia udambwi dambwi mwingi mno.
 
Steve kakanusha kuhusika na uigizaji wa sauti za mtongozo zilizovuma baina ya watu wanaodaiwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mrembo Wema Sepetu wa Bongo Movie..

“Kwanza mimi toka nimeanza kuigiza sauti sijawahi kuigiza sauti za viongozi wa chama fulani.

Pili, kutongoza napo sio dhambi, ni sunna (akimaanisha ni jambo jema tu kwa mwanaume yoyote kulifanya).
Tatu, sio kila kitu ambacho kimefanywa na familia fulani basi Steve anahusika.

Limenikera na kuniumiza sana. Pia sio kwa Kingereza kile cha kubembeleza vile, nina uwezo huo? Na pia sio mimi peke yangu ninayeweza kuigiza sauti za watu, waigizaji wapo wengi.”
alinukuliwa akisema Steve Nyerere.

Ni vizuri kiongozi kuhakikisha unaonyesha morals hata ukiwa peke yako, ikiwa hiyo ndiyo shauku yako. Siyo ufanye madudu halafu ulazimishe watu waseme tofauti.

Huyu Tivu, anayetajwa hapa ni Tivu gani na kachoka kufanya nini? Tive ndiye aliyekuwa anamhoji huyu, au teve ndiye aliye record naye ile ya kwanza, sasa hii ni part two?

Wema ameshakubali kwamba hiyo clip ni ya kweli. Ila yeye anachokataa ni kwamba hakuirusha yeye kwa kuwa simu anayoongelea haiwezi kurecord, ila anamtuhumu mke wa Mbowe ama Girl friend kwamba wameamua kuyasambaza hayo maongezi!. SAsa mnakaa mnapoteza muda hapa ili iwe nini?
 
Mkuu nakuambia,kama Tanzania tunawaigizaji wa sauti namna hiyo basi Hollywood tunawapiku soon[emoji23][emoji23]
 
Mbona Wema amekiri kwamba mawasiliano hayo ni ya kwao isipokuwa anachokataa ni kwamba siye yeye aliyeyarusha mtandaoni? Anahisi ni mke wa m/kti wake au girl friend mwingine kwa kuwa simu yake isingeweza kurekodi. Hii nalo linahitaji tume ya uchunguzi?

Ubishi mwingine ni wa kujidhalilisha!
 
Ili uweze kurekodi maongezi ya simu lazima unayempigia apokee simu ndo option za kurekodi zinakuwepo.

Sasa kwenye ile clip haiko hivyo.
 
No matter who has recorded, TCRA wanajua.

Hapa kuna pande mbili, kuna upande wa aliyerusha, na kuna upande wa uhalisia wa maongozi. Kinachokubaliwa na Wema na uhalisia wa hayo maongezi ingawa anachoshangaa ni nani karusha.

Kwa nini Wema hakatai kwamba siye yeye kaongea? Au amefanya biashara ili kuhujumu ndoa ya M/kiti wake? kafana biashara ili kuvuruga reputation ya mtu mwingine? Huyo Steve anayesema naye hapa kwamba "Tive mimi nimechoka", ni tivu gani, na alikuwa anarecordiwa hapa ili iwe nini?

HAYANIHUSU HATA HVYO.
 
Hizo ni Kiki za Wema kujiongezea umaarufu ,karekodi mwenyewe na kusambaza ili watu tujue yeye yupo juu kwa kuvunja amri na Mzee wa Hai
 
Hakuna awezaye kuigiza sauti zile kwa asilimia zile 100, wale ni wazinifu wenyewe kabisa.
Haswa pale kwa Wema, hakuna Muigiza sauti aliyekubuhu kwa level zile...hata wanaojibaraguza sasa 'not to that extent'

Pili, nadhani ni rahisi ku trace...Watu wafukunyue tu kama ni kweli Wema alikuwa na shughuli ya Mama yake mdogo kama alivyosikika akisema...kama ni kweli basi mchezo umekwisha...ni nani mtu baki angejua mambo ya ndani ya Wema?

Labda kwa mbaali kuhusu sauti ya Mwenyekiti...ila tukumbuke kuna sauti za jukwaani na sauti za 'bed room' ....na sitarajii sauti iwe ile ile niliyoizoea kuisikia jukwaani?
 
Mkuu unayo audio unitumie 0712900020
 
Mbona Wema kakili ni kweli na akasema simu yake haina uwezo wa kurekodi na Mbowe ndo karekodi hayo maongezi huenda demu wa mbowe au mkewe ndo kaanika kumkomoa. Mnacho mtetea mbowe ni kipi? Mke alie nae alimpataje au yy ni hanithi? Mademu zake mnawajua wote? Achane kutetea kitu kilicho uchi kama hiki bora tujadl maendeleo kuliko huyo mungu wenu wa cdm.
 
Steve Nyerere nikikumbuka Kituko ulichokifanya kwa Bosi wa Mashujaa Band Mama Sweya December mwaka 2012 pale Leaders Club tulipokuwa tunaserebuka na show ya Wenge Musica BCBG huku ukiwa na Mshkaji wako mkubwa Haji Londa ( Mtoto wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni ) leo hii nikiyasikia haya unayohusishwa nayo hata sishangai. Kikubwa ninachokushauri tu tafuta Mdhamini haraka sana uanzishe angalau ka ji Chuo ka Utapeli, Janja Janja na Usanii uliotukuka naamini utapiga mno Hela na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Mama wa Watu Sweya pamoja na ule Ujanja wake wote lakini siku ile ulimuingiza mjini pale pale Leaders Club kabla hata ya Kuzimia na ulipoingia nae katika ile Gari kumkimbiza Hospitalini. Halafu hoja yako kuwa sijui huwa huigizi Sauti za Viongozi wa Upinzani nadhani ni nyepesi mno Kwetu na wala haina mashiko. Hivi Wewe Steve Nyerere kuna kinachokushinda hapa mjini? Wadanganye wasiokujua.
Huyo jamaa anaishi mjini kwa mtindo ambao mi na wewe hatuwezi kuishi.

Sijui alitumia wakati gani na mbinu gani ya kujuana na viongozi na watu wengi maarufu.

Kuna mpwa wangu alipata shida ya mambo ya kimahakama,basi tukaelekezwa kumtumia yeye,basi dah.kila akikukutanisha na wadau,anadai hela tena ndefu...Mara milioni,Mara sh ngapi.. Na huko nako mnalipa tena.

Na nadhani huko nako anachukua cha juu.
Yule jamaa ni namba nyingine asee.. Hashindwi kufanya chochote ili apate kipato.
 
Back
Top Bottom