The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Mkuu nimeshakujua fika, nilikuwa nakusoma tuu ila sasa nshakujua vyema.Steve Nyerere nikikumbuka Kituko ulichokifanya kwa Bosi wa Mashujaa Band Mama Sweya December mwaka 2012 pale Leaders Club tulipokuwa tunaserebuka na show ya Wenge Musica BCBG huku ukiwa na Mshkaji wako mkubwa Haji Londa ( Mtoto wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni ) leo hii nikiyasikia haya unayohusishwa nayo hata sishangai. Kikubwa ninachokushauri tu tafuta Mdhamini haraka sana uanzishe angalau ka ji Chuo ka Utapeli, Janja Janja na Usanii uliotukuka naamini utapiga mno Hela na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Mama wa Watu Sweya pamoja na ule Ujanja wake wote lakini siku ile ulimuingiza mjini pale pale Leaders Club kabla hata ya Kuzimia na ulipoingia nae katika ile Gari kumkimbiza Hospitalini. Halafu hoja yako kuwa sijui huwa huigizi Sauti za Viongozi wa Upinzani nadhani ni nyepesi mno Kwetu na wala haina mashiko. Hivi Wewe Steve Nyerere kuna kinachokushinda hapa mjini? Wadanganye wasiokujua.
Ila amini, Steve hajausika kabisa na hii audio. Wamtafute yule mtaalamu wa sauti ya Ben mkapa huyo ni nyoko