GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huyo jamaa anaishi mjini kwa mtindo ambao mi na wewe hatuwezi kuishi.
Sijui alitumia wakati gani na mbinu gani ya kujuana na viongozi na watu wengi maarufu.
Kuna mpwa wangu alipata shida ya mambo ya kimahakama,basi tukaelekezwa kumtumia yeye,basi dah.kila akikukutanisha na wadau,anadai hela tena ndefu...Mara milioni,Mara sh ngapi.. Na huko nako mnalipa tena.
Na nadhani huko nako anachukua cha juu.
Yule jamaa ni namba nyingine asee.. Hashindwi kufanya chochote ili apate kipato.