Steve Nyerere: Mimi sijaigiza sauti za Mbowe na Wema, sio kwa kiingereza kile..

Steve Nyerere: Mimi sijaigiza sauti za Mbowe na Wema, sio kwa kiingereza kile..

Huyo jamaa anaishi mjini kwa mtindo ambao mi na wewe hatuwezi kuishi.

Sijui alitumia wakati gani na mbinu gani ya kujuana na viongozi na watu wengi maarufu.

Kuna mpwa wangu alipata shida ya mambo ya kimahakama,basi tukaelekezwa kumtumia yeye,basi dah.kila akikukutanisha na wadau,anadai hela tena ndefu...Mara milioni,Mara sh ngapi.. Na huko nako mnalipa tena.

Na nadhani huko nako anachukua cha juu.
Yule jamaa ni namba nyingine asee.. Hashindwi kufanya chochote ili apate kipato.

Nashukuru kwa kulijua hilo Mkuu na huyo ndiyo Mtoto wa Mjini aliyetukuka Steve Nyerere.
 
Mwenyekiti mraku kama nini!
Bila kutafunwa naue hakuna viti maalumu.

Haya niliyatarajia tangu kitambo,
Nilimuona mwenyekiti akiangalia kwa jicho pembe ndani ya miwani nikajua haponi mtu, mtu mwenyewe aina ya kata funua.
 
Kwa nature ya majukum aliyokua nayo Mh. Mbowe kwa wakati ule maana tarattbu za mazish zlkua j3 then j2 akambebe Wema nadhani sio rahsi.
Pili ile voice note kuna part inasema tive mm nimechoka Bwana.
Tatu kuna dada anaweza kuigiza sauti ya Wema vizr kabsa Kwa io Kwa saut ya Wema ni acting.
Nne sauti ya Mbowe sio Kwa mchagga L na R znakua more stresed au kushindiliwa Kwa waliosoma language wataelewa.
Tano haya maelezo ya Tivu nina mashaka nayo yana defensive mechanism nyingi so yana daught
 
Unajua bongo ni wanafiki sana binafsi simuungi mkono mbowe kwa kuchepuka na wema sababu ana mke wa ndoa na familia na kama kiongozi unapaswa uwe kimaadili safi swala la yeye kula bata mwache ale kwani hata member wanaotokwa puvu hawachepuki? hawafanyi anayofanya mbowe? ishu ni hiyo clip kuvuja coz hayo ni mambo yao ya ndani basi faragha na iheshimiwe.

Na mbowe atambue malipo ni hapa hapa dunia, upandacho ndo uvunacho.
 
Steve hana sifa yoyote ya kuwa mwana sanaa . Aliingia kupata mlo tu
 
Back
Top Bottom