Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Kumbe ndo maana unaweza kununua sababu uko hukohuko...njo ununue hapa bongo tuone hizo nyodo zako.

And by the way hizo unazoita takataka zetu hazipo sana huko ulaya sababu wa protectionism tu na sio quality kam unavotaka kuaminisha umma,Toyota wanazo gari pia wanauza hukohuko ulaya weww sijui unaishi Greenland ama?In fact hizo takataka zinauzwa dunia nzima na matajiri wa ulaya wanaweza kuzinunua weww huwezi sababu zi za kuagiza nje unashindwa bei.
 
Sijaona tajiri akitumia hizo takataka,hata huko kwenu hao wanaojiita matajiri wakipata hela zao za mafua ya ndege wanakimbilia za ki kristo hata kama ni za uwizi, ili wapate prestige
 
Sijaona tajiri akitumia hizo takataka,hata huko kwenu hao wanaojiita matajiri wakipata hela zao za mafua ya ndege wanakimbilia za ki kristo hata kama ni za uwizi, ili wapate prestige
Hujaona sababu uko bize kubeba box tu that's why.
 
"Steve Nyerere ni tajiri wa kutupwa, anamiliki magari manne na wife mmoja", said one man who doesn't have any clue about economy.
Trust me when i say he is rich compared to all other bongo movie stars, na maboss wake mamemwam ie asipost pumbaa
 
Hata huko nikija ninao uwezo wakununua, zipo zimepaki tu,halafu majority ya wanaomiliki hizo taka huko I believe registration card ina majina Mawili, including wewe na hiko ki passo Kako.imagine unaendesha gari ya mwaka 1999??.
 
Hata huko nikija ninao uwezo wakununua, zipo zimepaki tu,halafu majority ya wanaomiliki hizo taka huko I believe registration card ina majina Mawili, including wewe na hiko ki passo Kako.imagine unaendesha gari ya mwaka 1999??.

Mimi sina hata gari,ni mvuvi wa ukerewe tu mimi...
 
We jamaa huwa unapost pumba sana
Tumewazoea hata membe mnasema anaongea pumba,ukweli siku zote unauma,huwa nwa enjoy mkiwa kwenye sherehe,mmeshakunywa za bure mkienda kuwasha taka zenu mnajikuta mnahangaika kufungua ya mwenzako, utakuta viko mia vina fanana.
 
You don't sound like a 50yr old
 

Tuko pamoja Savimbi Jr, kumbe unaweza andika kwa ufasaha bila matusi
 
Kama Kumiliki Magari Sio Sehemu Ya UTAJIRI, Je Wale Wamiliki Wa Malori Na Mabasi Yawe Ya Route Ndefu Au Daladala, Why Wanaitwa MATAJIRI!!!!!??
Wabongo hovyo kabisa,mimi namuheshimu mwenye nyumba moja ya maana kuliko mwenye mabasi scandnavia 100 au malori 100 rehema ya mungu.Utajiri ardhi
 
Watu wanadis toyota, kisa AUDI sasa ungekua na G55 Wagon wewe jamaa si ungejidai sana? halafu tunaangalia upo sehemu gani maana nchi zingine hasa hizo Europe kununua Toyota zinapelekea kua na na kodi kubwa sababu ya importation halafu kuona AUDi ina class na style or whatever ni ujinga maana Toyota katoboa hata huko unapokuaona vipi sijui ndo mana kuna LEXUS(Luxury EXport to the US) Luxury Version of the Toyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…