bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Kumbe ndo maana unaweza kununua sababu uko hukohuko...njo ununue hapa bongo tuone hizo nyodo zako.Meantime Audi Q7,bro!!Sijawahi kuendesha hizo takataka zenu, Nina 50yrs, nimemiliki gari for the past 30yrs, gari yangu yakwanza nilipewa zawadi na marehemu baba yangu, which was Volkswagen Beetle, ilikuwa ya shule,after that niko huku hizo takakata zenu hawazijui, ni European made tu,where class and standard matters.
And by the way hizo unazoita takataka zetu hazipo sana huko ulaya sababu wa protectionism tu na sio quality kam unavotaka kuaminisha umma,Toyota wanazo gari pia wanauza hukohuko ulaya weww sijui unaishi Greenland ama?In fact hizo takataka zinauzwa dunia nzima na matajiri wa ulaya wanaweza kuzinunua weww huwezi sababu zi za kuagiza nje unashindwa bei.