Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Nyie ndo mnaolewa mjini, hapo ushamfata private...
Sa ukiwa kweli si utamvulia nguo hadharani. Punguani wahed
Acha kupanic we mbuzi! Hiyo AUD q7 initoe mm udenda??? Ww inaonekana ni maskini wa akili hadi wa hela!! Teh teh pole sana boss!! Kalalamikie wazazi wako waliokataa kufanya kazi hapo zaman ungekuta na ww ulipewa zawadi Q7!!
 
Jamani
Tatizo lenu nyie wanya nje hampendi kuelezwa ukweli najaribu kuwatoa kwenye u zombie lakini naonekana mbaya,Haya bakili huko na akili zenu zinazotazama chini kama taa za BAISKELI!
jamani umenichekesha. Big up mkuu, Mungu akupe mkono WA hero, hapa vibwengo wengi hawatak kuona maendeleo ya watu
 
Jamani
jamani umenichekesha. Big up mkuu, Mungu akupe mkono WA hero, hapa vibwengo wengi hawatak kuona maendeleo ya watu
Ndugu yangu hiyo mijitu haibeneki na haijui kuthamini,ndio maana watu ambao huku tunawaona wapuuzi kama wakenya wana wa drive,yaani roho inaniuma kweli,imagine mtu mwamume ana mke na watoto, eti anamsifia mwamme mwenzake mwenye Toyota,hapo utakuta yuko na bibi yake povu linamtoka kumsifia.
 
Duuuuuuuuuh hii ya leo kali, shikamoo mjuzi wa magari ila naomba unijibu kitu kimoja tu kama mtu anauza zaidi ya mwingine na anatengeneza faida kubwa kuliko wote duniani maana yake bidhaa zake si ni nzuri sana au wewe unaonaje mjuzi wa magari ????????????????
hahahah! fikiri hivi, maji uhai na kilimanjaro ni yapi yanauzwa sana dar? kisha nenda kwenye quality!
 

Attachments

  • 1453651704959.jpg
    1453651704959.jpg
    3.1 KB · Views: 39
We ni Steve Nyerere? Mkuu mbona povu na kashfa juu? Kusudi tusitoleane hewa ya ukaa hebu tupe tafsiri ya utajiri so that we are on the same page.

Utajiri wa kugauge kwa properties zinazodepreciate with time ni very interesting, come after two years with the same properties and give me their value
Niliwahi kusoma sehemu utajiri hauna kipimo hakuna benchmark ya kusema ikifika hapa basi wewe ni tajiri,Kama stivie nyerere anamiliki kweli hayo magari jumba tegeta basi ni tajiri ukikompea na wabongomovie wenzake,mkulima kijijini mwenye ekari nyingi za mazao ni tajiri,ukija uswahilini kwetu ukiwa na vyumba viwili vya police post na duet ni tajiri,ukija kwenye mablogu le Mutuz ni tajiri,ukienda huko Forbes kina mengi sio matajiri kabisa nadhani umepata picha nachojaribu kusema na ndio maana Kuna mdau hapo juu kasema yeye ni tajiri Ana bajaji nne.
 
Meantime Audi Q7,bro!!Sijawahi kuendesha hizo takataka zenu, Nina 50yrs, nimemiliki gari for the past 30yrs, gari yangu yakwanza nilipewa zawadi na marehemu baba yangu, which was Volkswagen Beetle, ilikuwa ya shule,after that niko huku hizo takakata zenu hawazijui, ni European made tu,where class and standard matters.
unamiliki kampuni ngapi mkuu??
 
Ahaaaa kumbe na mimi niko vizur maana hapa uswahilin wenye magar toko wawili tu Na paso yangu ni mpya kabisa BWANA NYERERE AMEPIGA HATUA KUBWA UKILINGANISHA NA WA TZ WENGI ILA SIKUBALIANI NA WENGI ETI NI TAJIR UTAJIR HAUNA KIWANGO LAKIN KWA HILI HAITAJI SIFA KIASI HIKI KUNA MENGI YA KUFANYA
 
Duuuuuuuuuh hii ya leo kali, shikamoo mjuzi wa magari ila naomba unijibu kitu kimoja tu kama mtu anauza zaidi ya mwingine na anatengeneza faida kubwa kuliko wote duniani maana yake bidhaa zake si ni nzuri sana au wewe unaonaje mjuzi wa magari ????????????????
Zaweza kuwa affordable lakini sio best
 
To me hiyo sio gari, kama hoja yako ni USAFIRI from point A to B thats fine,but when it comes to comfortability durabiliry na luxury, hiyo sio gari,tafadhali usibishane Nami kuhusu magari
Toyota Land Cruiser prado 2014 nadhan inauza sh. Million 10, calculate price ya ya rav 4 2013, ok all are used
 
Back
Top Bottom