bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
magari yote hayo ya maana halafu anaishi nyumba ya kupanga?
Hizo ndizo akili zetu ..... show off kwa wingi aonekane barabarani leo ana gari hili kesho jengine.
Pa kulala haijalishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magari yote hayo ya maana halafu anaishi nyumba ya kupanga?
Kibaraza cha nyumba kama guest house.Nyani Ngabu akija hapa atakwambia hivyo vigari vikuu kuu ndio mnamwita tajiri..
Alafu vigari vyenyewe vimepakiwa mpaka barazani.. teh teh teh Tajiri Nyerere
nilikuwa na swali hili hili kama ni hivyo basi matajiri ni wengi......Magari ni utajiri nao kumbe
Basi atakuwa ndio Munawar.Nilivyosikia ni dalali wa hayo magari
Asante mkuu..Siku hizi magari yanatolewa bure ndo maana unasema kumiliki gari sio utajiri
Aaah mbona kawaidaWatu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?
Umiliki
1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)
Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
Meantime Audi Q7,bro!!Sijawahi kuendesha hizo takataka zenu, Nina 50yrs, nimemiliki gari for the past 30yrs, gari yangu yakwanza nilipewa zawadi na marehemu baba yangu, which was Volkswagen Beetle, ilikuwa ya shule,after that niko huku hizo takakata zenu hawazijui, ni European made tu,where class and standard matters.
Umesema una miaka 50 vile??!! Haya mkuu hongeraHonestly nataka kujua gari gani unasukuma, pia unaimiliki 100%,haina mkopo wa mwajiri wako, pia ulianza mwaka gani kumiliki chombo cha moto,ili nijue namaliza bundle yangu na nani?
Usikute ndiye yeye.Munawar hawezi kufanya biashara na mtu kma stive
Umeuharibu sana huu uziNdugu mbona q7,inakutoa ufahamu ni vitu vidogo mno huku,huwezi ukasema una toy,ningekuwa na bugatti ingekuwaje dogo,halafu Unaposema umekuja kabla yangu unajua nimefika lini huku?,embu punguza utoto!!
"nyumba ya mabilioni" mangapi..?? Sifa za kijinga hizi..!!Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?
Umiliki
1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)
Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
Huyo hana hata mkokoteni!Umeongea vizuri sana mwanzo ila umeharibu kuisema TOYOTA kama ni gari zisizo na thamani ila kumbuka ndio kampuni ya magari inayoongoza kwa mauzo duniani hadi kufikia mwaka 2014 ingia hapa uone Car manufacturers: largest car companies by sales 2014 | Statistic mwaka jana tu ndio wamepigwa bao na volkswagen.
Naamini hyna hata mkokoteni wewe!Ngoja nimwite Munawar aje avi thaminishe hivyo vikopo, halafu unaweza kukuta majivuno yoote bima yake ni third party,motor vehicle zimekwisha,watu wanajivunia ng'ombe na mbuzi mazizini,washamba wanajivunia vigagari vya miaka ya tisini tena Toyota.,godamn!!!!.
Endelea kulala mlango wazi,mpaka ukute kulw mtandaoni kumeroa ndio utajuaNaamini hyna hata mkokoteni wewe!
Endelea kuimba isambe huku wenzio wakiendesha hizi Toyota.Endelea kulala mlango wazi,mpaka ukute kulw mtandaoni kumeroa ndio utajua
Usiseme toyota sema takatakaEndelea kuimba isambe huku wenzio wakiendesha hizi Toyota.