Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?

Umiliki

1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)


Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
Aaah mbona kawaida
 
Meantime Audi Q7,bro!!Sijawahi kuendesha hizo takataka zenu, Nina 50yrs, nimemiliki gari for the past 30yrs, gari yangu yakwanza nilipewa zawadi na marehemu baba yangu, which was Volkswagen Beetle, ilikuwa ya shule,after that niko huku hizo takakata zenu hawazijui, ni European made tu,where class and standard matters.
Honestly nataka kujua gari gani unasukuma, pia unaimiliki 100%,haina mkopo wa mwajiri wako, pia ulianza mwaka gani kumiliki chombo cha moto,ili nijue namaliza bundle yangu na nani?
Umesema una miaka 50 vile??!! Haya mkuu hongera
 
Ndugu mbona q7,inakutoa ufahamu ni vitu vidogo mno huku,huwezi ukasema una toy,ningekuwa na bugatti ingekuwaje dogo,halafu Unaposema umekuja kabla yangu unajua nimefika lini huku?,embu punguza utoto!!
Umeuharibu sana huu uzi
 
Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?

Umiliki

1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)


Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
"nyumba ya mabilioni" mangapi..?? Sifa za kijinga hizi..!!
 
Ngoja nimwite Munawar aje avi thaminishe hivyo vikopo, halafu unaweza kukuta majivuno yoote bima yake ni third party,motor vehicle zimekwisha,watu wanajivunia ng'ombe na mbuzi mazizini,washamba wanajivunia vigagari vya miaka ya tisini tena Toyota.,godamn!!!!.
Naamini hyna hata mkokoteni wewe!
 
Endelea kuimba isambe huku wenzio wakiendesha hizo Toyota!
 
Back
Top Bottom