Mdodos
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 379
- 279
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli watanzania sisi maskini kwakweli..kama hata kuwa toyota ractis, crown au Cherokee ni utajiri basi tumchukie tu diamond.Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?
Umiliki
1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)
Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
tena huyu bongo muvi mwanasiasa....Msiwaamini sana Bongo movie
Hana hela au ana hela? Unavyoandika kueleweka kazi.Steve ana ela wewe... Mtu asikudanganye.....
Bora Useme wewemagari yote hayo ya maana halafu anaishi nyumba ya kupanga?
Show off hana kitu huyuuWatu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?
Umiliki
1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)
Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
kakwambia ana miaka 50,huyu ni MHENGA mpumbavu kabisa kuwahi kutokea,kwanza ana uandishi wa kihuni afu anasema ana miaka 50,mie pia kaniboa,nimevumilia nimeshindwa nanunua ugomvi,bora hata le mutuz kuliko hili jinga 50Ujivuni wako haukusaidii kitu, hata nikikudanganya kama wewe unavyodanganya utaamini vipi?
Akili iko matakoni kabisa, m a bit matured siwezi poteza muda na watoto wasiojielewa.
Roho ya jikoni utaijua tu.Magari ni utajiri nao kumbe
Kitu pekee ntakacho amini juu ya wanabongomovie na wanasiasa ni salam tu baada ya hapo ni utapeliMsiwaamini sana Bongo movie