Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?

Umiliki

1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)


Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
Kweli watanzania sisi maskini kwakweli..kama hata kuwa toyota ractis, crown au Cherokee ni utajiri basi tumchukie tu diamond.
 
Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?

Umiliki

1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)


Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
Show off hana kitu huyuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujivuni wako haukusaidii kitu, hata nikikudanganya kama wewe unavyodanganya utaamini vipi?
Akili iko matakoni kabisa, m a bit matured siwezi poteza muda na watoto wasiojielewa.
kakwambia ana miaka 50,huyu ni MHENGA mpumbavu kabisa kuwahi kutokea,kwanza ana uandishi wa kihuni afu anasema ana miaka 50,mie pia kaniboa,nimevumilia nimeshindwa nanunua ugomvi,bora hata le mutuz kuliko hili jinga 50
 
Kuwadi Wa vigogo Kwa wadada Wa bongo muvi

Hata bashite alipomtaka sepenga akipitia kwake

Sema sepenga Hakumuelea akampiga chini, ndo bashite akahamia kwa masogange

invest what you are willing to lose
 
Huyu nakumbuka nilikutana nae kwa salum mbuzi anasubiri kupewa laki moja ya kuchekesha huko maswa... Kwa ile hali niliyomuona nayo sidhani kama anaweza kumiliki hizo mali
 
Back
Top Bottom