Steve Nyerere: Ni unafiki Wasanii kufuta picha za kampeni CCM, mnadhani wataacha kuwatukana? Tayari Rais tunaye

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Msanii wa Bongo Movie Steven Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika kuhusiana na Muenendo wa wasanii wengi kufuta picha zao wakiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) akisema ni unafiki na kutokuwa na msimamo

"Mstafuuu,....Nimeona Wasanii wengi Wanafuta Picha za Kampeni, Na wengine wana Archive Wakiamini baadaye watazirudisha ni Utoto mkubwa Unafanyika,..Unafuta Picha ili Iweje, Je Unadhania Picha zinaweza kusababisha watu wasikutukane Tunasahau Umaarufu Sifa yake ya kwanza Kukosolewa kutukanwa kudhalilishwa ,Hata ufanye Zuli lipi hapa Duniani lazima wakosoaji Wapo na bahati mbaya zaidi Wakosoaji wetu ni wale wao hawakuwahi kujaribu wala kufanya lolote kwenye hili Taifa

Nimeona Wasanii wengi Wanafuta Picha Za kampeni, Najiuliza kwa lipi mpaka mfute ,...Je ni makosa msanii kufanya kampeni kwa chama chochote anacho kipenda

Unafiki wa hali ya juuu sana ,Lakini Pia ni Uchochezi wa chini kwa chini Ambao sio kitu kizuri kabisa ,..Wakati mnapiga Simu na kuomba Shooo Wakati mnapiga simu kuomba kushiriki naimani mlikuwa na Akili timamu na mlijua Siasa ni mchezo mchafu Vuta nikuvute mlitambua kuna picha na mkajua kupost pia leo hata siku 20 Mikwala kidogo mnafuta Picha Hii inawafanya hata jamii kuwaona Amna misimamo,...Unapo Amua kusimama na Mtu simama naye Iwe Mvua Iwe Jua

Na Unapo Amua kuingia kwenye kampeni yoyote Tambua kuna Faida na hasara pia, ..Tambua lazima kuna hari mtapitia hapo ndipo sehemu sahihi ya kubaki na misimamo yako kwa heshima kubwa uliyo Jenga

Kufuta picha zote za kampeni ni Unafiki ,Kujisafisha wakati hata hao wanaotoa jasho kukutukana ni kwa vile walikosa hiyo nafasi uliyopata wewe kwa hiyo usidhani kuna Furaha kwenye mioyo yao

Lakini kikubwa zaidi Uchaguzi Umekwisha na tayari Tunaye Rais,...na muda si mrefu serikali Inaingia kazini kuhudumia Watanzania kwa maslahi mapana Tanzania

Kuna muda Tukubaliane kusimamia misimamo
Kuna Muda Tukubali kusimamia kile tulicho kiamini
Kuna muda Tuamini heshima nyingine inakuja kwa msimamo wako

Tusonge mbele hakuna kitakacho futika Ukifuta picha Tunabaki kwenye kumbu kumbu tu Ya Technology

Tusonge mbele kujenga Taifa lenye Utu na kufanya kazi

HUKU MNATAKA NA HUKU MNATAKA KILA MAHALA MNATAKA KUONEKANA WAZURI SIO SAWA NI UNAFIKI MKUBWA UCHONGANISHI MKUBWA SIMAMA NA MSIMAMO WAKO ACHA KUYUMBISHA ROHO YAKO"- Ameandika Steve Nyerere
1762415969530.png
 
Kwa hiyo anawalazimisha hata kama wanebaini kuwa walikuwa upende wa udhalimu na waneona wawe neutral ili wajitathmini upya, Gen Z when time comes atakuwa mboga yao.
 
Usichokijua ndugu,hao huenda wamenusa harufu ya shombo na ndiyo sababu ya uamuzi wao,iwapo wewe unasikia harufu ya marashi endelea kuishi maisha ya mazoea kama wafanyavyo mabosi wako,mliamini Watanzania ni wajinga,ila haiwezi kuwa siku zote!
 
Mpumbavu akinyamaza huonekana mwenye hekima, ila akiongea anaharibu kila kitu... Hajui hata kusoma nyakati.
 
Msanii wa Bongo Movie Steven Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika kuhusiana na Muenendo wa wasanii wengi kufuta picha zao wakiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) akisema ni unafiki na kutokuwa na msimamo

"Mstafuuu,....Nimeona Wasanii wengi Wanafuta Picha za Kampeni, Na wengine wana Archive Wakiamini baadaye watazirudisha ni Utoto mkubwa Unafanyika,..Unafuta Picha ili Iweje, Je Unadhania Picha zinaweza kusababisha watu wasikutukane Tunasahau Umaarufu Sifa yake ya kwanza Kukosolewa kutukanwa kudhalilishwa ,Hata ufanye Zuli lipi hapa Duniani lazima wakosoaji Wapo na bahati mbaya zaidi Wakosoaji wetu ni wale wao hawakuwahi kujaribu wala kufanya lolote kwenye hili Taifa

Nimeona Wasanii wengi Wanafuta Picha Za kampeni, Najiuliza kwa lipi mpaka mfute ,...Je ni makosa msanii kufanya kampeni kwa chama chochote anacho kipenda

Unafiki wa hali ya juuu sana ,Lakini Pia ni Uchochezi wa chini kwa chini Ambao sio kitu kizuri kabisa ,..Wakati mnapiga Simu na kuomba Shooo Wakati mnapiga simu kuomba kushiriki naimani mlikuwa na Akili timamu na mlijua Siasa ni mchezo mchafu Vuta nikuvute mlitambua kuna picha na mkajua kupost pia leo hata siku 20 Mikwala kidogo mnafuta Picha Hii inawafanya hata jamii kuwaona Amna misimamo,...Unapo Amua kusimama na Mtu simama naye Iwe Mvua Iwe Jua

Na Unapo Amua kuingia kwenye kampeni yoyote Tambua kuna Faida na hasara pia, ..Tambua lazima kuna hari mtapitia hapo ndipo sehemu sahihi ya kubaki na misimamo yako kwa heshima kubwa uliyo Jenga

Kufuta picha zote za kampeni ni Unafiki ,Kujisafisha wakati hata hao wanaotoa jasho kukutukana ni kwa vile walikosa hiyo nafasi uliyopata wewe kwa hiyo usidhani kuna Furaha kwenye mioyo yao

Lakini kikubwa zaidi Uchaguzi Umekwisha na tayari Tunaye Rais,...na muda si mrefu serikali Inaingia kazini kuhudumia Watanzania kwa maslahi mapana Tanzania

Kuna muda Tukubaliane kusimamia misimamo
Kuna Muda Tukubali kusimamia kile tulicho kiamini
Kuna muda Tuamini heshima nyingine inakuja kwa msimamo wako

Tusonge mbele hakuna kitakacho futika Ukifuta picha Tunabaki kwenye kumbu kumbu tu Ya Technology

Tusonge mbele kujenga Taifa lenye Utu na kufanya kazi

HUKU MNATAKA NA HUKU MNATAKA KILA MAHALA MNATAKA KUONEKANA WAZURI SIO SAWA NI UNAFIKI MKUBWA UCHONGANISHI MKUBWA SIMAMA NA MSIMAMO WAKO ACHA KUYUMBISHA ROHO YAKO"- Ameandika Steve Nyerere
Huyu limbukeni Tu. Kwani ana kitu gani cha kupoteza?
 
Back
Top Bottom