Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Haya bwana ndio Watanzania ndio tuliokuwa naoumeongea la maana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bwana ndio Watanzania ndio tuliokuwa naoumeongea la maana mkuu
Na mimi nimetumia History Brush ya Photoshop kuondoa rangi uliyopulizia na hivyo sura yako inaonekana dhahiri kabisa !! Nitaiweka hapa only ukitoa idhini.... sikutaka kuonyesha sura, kwa makusudi nimepulizia rangi kwenye photoshop.
Una uhakika? Cheyo, Chenge,Bob Makani Je!!!!
Na mimi nimetumia History Brush ya Photoshop kuondoa rangi uliyopulizia na hivyo sura yako inaonekana dhahiri kabisa !! Nitaiweka hapa only ukitoa idhini.
Nikienda tena nitamtafuta mzee wako. Huenda nikaenda huko nhobola tena mwezi Decemba; nilitoka huko kama miezi miwili tu iliyopita. Ndugu yetu Kanumba ajue kuwa kwa vile ameshafikia kwenye uwanja mpana, lazima pia apanue uwanja wake wa lugha. Kwetu sisi kiingereza ni lugha yetu ya pili ya taifa, kwa hiyo tuna lazima kuifahamau labda kama tuna shule ndogo. Ndiyo maana sheria zetu zote zinaandikwa kwa kiingereza. Tusitake visingizio vya kujifananisha na watu kama wachina ambao kiingereza siyo lugha yao ya taifa na shule zao zote wanasoma kwa kutumia lugha yao.
Geoff ningefurahi kama ungenipa procedure za ku-insert picha humu ndani ya jamii forum coz nimejaribu ila nimeshindwa! Thanks
kweli lugha ni muhimu ila kumzodoa kanumba sio haki kwani humu katika wachangiajia wa jamii ni wangapia ambao mnaweza kuongea kiingereza fasaha? acheni mazingira yetu tuliyokulia ni ya lgha ya kisahili hivyo ni vyema tukaendelea kukienzi kiswahili kiingereza iwe ziada tatizo la wabongo wengi mtu akiongea kiingereza ndio mwamuona kasomasana wamaana sana na hata katika ofisi zetu nyingi kama unamwanao anajua kiingereza anaweza kupewa kazi ya maana hata kama kichwano bogasi kuweni waangalifu kiingereza sio ishu katika ulimwenmgu huuu madaktari wangapi wa kichina mmeshakutanaoa nao hawajui kiingereza sasa hoaja sio kanumba bali ni mfumu wa shule zetu waambieni wabadilishe kabisa mitalaa ya kiswahili iwe ya kiingereza lakini kuumbukeni huo utakuwa ni ukoloni tu

Usijali, mimi naijua sana miiko ya hapa JF kuhusu kuweka habari za member humu, so mimi sitaweka chochote hapa, ila naona umefanana kidogo na yule member anayependa kutundika mara kwa mara habari za airport na safari za ndege !!Kama umefuta, hewala umeshaona nilivyo ingawa uso ulikuwa umenivimba saana sijui kwa nini? Kitendo cha kuondoa rangi bila idhini yangu tayari ni makosa hivyo kwa masharti ya Jamiiforums, huwezi kuweka sura yangu maana utakuwa umevunja MIIKO ya JF.
Usijali, mimi naijua sana miiko ya hapa JF kuhusu kuweka habari za member humu, so mimi sitaweka chochote hapa, ila naona umefanana kidogo na yule member anayependa kutundika mara kwa mara habari za airport na safari za ndege !!
Semilong,
Hiyo ni picha yangu kweli. Ila nimepulizia rangi usoni kwa makusudi ili kuficha sura yangu. Kijana alitaka kuona urefu wangu na nimemtumia picha aone mwenyewe na sikutaka kuonyesha sura, kwa makusudi nimepulizia rangi kwenye photoshop.
...ha haha ndunje utawajua tuu wanajitetea kwa nguvu zote,anyway hakuna kitu kibaya kuwa mfupi,ila FYI mimi ni 6'4" !
...ha haha ndunje utawajua tuu wanajitetea kwa nguvu zote,anyway hakuna kitu kibaya kuwa mfupi,ila FYI mimi ni 6'4" !
Matiti ya bibi yako. Eti uko 6'4.....6'4 unaijua wewe mluguru? Wewe uko 5'4
Huyu hapa jamaa analialia. Asanteni jamaa wa Bongomusicvideo kwa kuiweka hii kwenye youtube. Sasa wote wataweza msikia kijana wangu.
Kanumba narudia tena, nenda shule ndugu yangu. Wewe siyo mwana NKIMA ila ni Mwana Ngosha.....
http://www.youtube.com/watch?v=NIsJd2MF56w
Matiti ya bibi yako. Eti uko 6'4.....6'4 unaijua wewe mluguru? Wewe uko 5'4
..wewe kanumba aminia tuu Koba hapa ni 6'4" na wala sidanganyi na nilikuwa sijui kama urefu deal,anyway kwetu wote warefu kwa hiyo 6'4" sio ajabu