Steven Kanumba and John Mashaka

Steven Kanumba and John Mashaka

... sikutaka kuonyesha sura, kwa makusudi nimepulizia rangi kwenye photoshop.
Na mimi nimetumia History Brush ya Photoshop kuondoa rangi uliyopulizia na hivyo sura yako inaonekana dhahiri kabisa !! Nitaiweka hapa only ukitoa idhini.
 
Kiingereza ni cha muhimu mno kwa waTZ kwa sasa, Mfano ni hii jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na mambo mengine lugha nayo inachangia sana kuwa kikwazo cha kujiunga kwani wenzetu wa Kenya na Waganda Kiingereza kimewasaidia sana.Tunajifariji na lugha yetu ya taifa lakini kwa kweli watu wengi wanapenda kuflow English ila basi tu wafanyaje.
Kinachotuponza ni aibu ya kwenda English course kwa kuwa una degree ,na uvivu wa kujisomea Vitabu.
Tubadilike watanzania,sio kwenye English tu,hata Kifaransa au kispaniola,kichina kama unaweza jifunze tu!
 
Una uhakika? Cheyo, Chenge,Bob Makani Je!!!!

we umewaona hao ni warefu, lakini mimi nilifika hadi huko Shinyanga nikawakuta na vijeba. Hadi nilipata mshangao, kwamba kumbe kuna akina ngosha vijeba.
 
Na mimi nimetumia History Brush ya Photoshop kuondoa rangi uliyopulizia na hivyo sura yako inaonekana dhahiri kabisa !! Nitaiweka hapa only ukitoa idhini.

Sinkala,
Sina uhakika kama kweli umefanya au laah. Mie nilitumia Microsoft Paint kupuliza hizo rangi na nilisahau na kuandika Photoshop. Sijui kama Photoshop inaweza kukitambua kitu kilichofanyika kwenye Ms Piant ila program nyingi za MS huwa ni weak sana kuzivunja.

Kama umefuta, hewala umeshaona nilivyo ingawa uso ulikuwa umenivimba saana sijui kwa nini? Kitendo cha kuondoa rangi bila idhini yangu tayari ni makosa hivyo kwa masharti ya Jamiiforums, huwezi kuweka sura yangu maana utakuwa umevunja MIIKO ya JF.
Anyway nashukuru kwa kunijulisha hilo, next time, ninaondoa kabisa hicho kipande na kukikata na ndiyo napuliza hizo rangi.
 
Nikienda tena nitamtafuta mzee wako. Huenda nikaenda huko nhobola tena mwezi Decemba; nilitoka huko kama miezi miwili tu iliyopita. Ndugu yetu Kanumba ajue kuwa kwa vile ameshafikia kwenye uwanja mpana, lazima pia apanue uwanja wake wa lugha. Kwetu sisi kiingereza ni lugha yetu ya pili ya taifa, kwa hiyo tuna lazima kuifahamau labda kama tuna shule ndogo. Ndiyo maana sheria zetu zote zinaandikwa kwa kiingereza. Tusitake visingizio vya kujifananisha na watu kama wachina ambao kiingereza siyo lugha yao ya taifa na shule zao zote wanasoma kwa kutumia lugha yao.

Kichuguu,
Samahani sana kwa kuchanganya majina. Mzee anaishi KAZIMA na siyo UYUWI. Haya majina yote ni ya Secondary za Tabora na zote wamesoma ndigu zangu na ndiyo maana huwa nachanganya majina. Ila ukifika Kazima kibahati mbaya au nzuri basi utamkuta pale.
 
Geoff ningefurahi kama ungenipa procedure za ku-insert picha humu ndani ya jamii forum coz nimejaribu ila nimeshindwa! Thanks

Mkuu kuna njia mbili. Moja ni ile una copy na kuja kuPASTE hapo kwenye ujumbe ila wakati mwingine hii inagoma. Moja ya sababu inaweza kuwa ni picha yako ina memory kubwa.
Ya pili ni kuwa unapoandika ujumbe wako, chini ya maneno SUBMIT REPLY kuna sehemu imeandikwa MANAGE ATTACHMENTS. Hapo ukibonyeza kuna sehemu mbili. Ya juu unaweka picha zilizokwenye PC yako na ya chini unaweka picha kutoka kwenye WWW site. Nategemea hutapata shida na ukikwama basi jamaa watakuelekeza zaidi.
 
kweli lugha ni muhimu ila kumzodoa kanumba sio haki kwani humu katika wachangiajia wa jamii ni wangapia ambao mnaweza kuongea kiingereza fasaha? acheni mazingira yetu tuliyokulia ni ya lgha ya kisahili hivyo ni vyema tukaendelea kukienzi kiswahili kiingereza iwe ziada tatizo la wabongo wengi mtu akiongea kiingereza ndio mwamuona kasomasana wamaana sana na hata katika ofisi zetu nyingi kama unamwanao anajua kiingereza anaweza kupewa kazi ya maana hata kama kichwano bogasi kuweni waangalifu kiingereza sio ishu katika ulimwenmgu huuu madaktari wangapi wa kichina mmeshakutanaoa nao hawajui kiingereza sasa hoaja sio kanumba bali ni mfumu wa shule zetu waambieni wabadilishe kabisa mitalaa ya kiswahili iwe ya kiingereza lakini kuumbukeni huo utakuwa ni ukoloni tu

... Kanumba hastahili kulaumiwa kwa kutojua lugha ya kiingereza,anastahili kulaumiwa kwa kujiweka mbele na kukubali kubeba mzigo asioumudu!!Ni sawa na mtu mwenye uwezo wa kubeba uzito wa kilo mbili atake kwenda liwakilisha Taifa kwenye uzito wa kilo nane.Kwa hapo haistahili kumtetea. Twafahamu wengi wetu hatujui .. ndio maana hatuendi huko!!Tuwaache wanaomudu mambo hayo
 
kweli lugha ni muhimu ila kumzodoa kanumba sio haki kwani humu katika wachangiajia wa jamii ni wangapia ambao mnaweza kuongea kiingereza fasaha? acheni mazingira yetu tuliyokulia ni ya lgha ya kisahili hivyo ni vyema tukaendelea kukienzi kiswahili kiingereza iwe ziada tatizo la wabongo wengi mtu akiongea kiingereza ndio mwamuona kasomasana wamaana sana na hata katika ofisi zetu nyingi kama unamwanao anajua kiingereza anaweza kupewa kazi ya maana hata kama kichwano bogasi kuweni waangalifu kiingereza sio ishu katika ulimwenmgu huuu madaktari wangapi wa kichina mmeshakutanaoa nao hawajui kiingereza sasa hoaja sio kanumba bali ni mfumu wa shule zetu waambieni wabadilishe kabisa mitalaa ya kiswahili iwe ya kiingereza lakini kuumbukeni huo utakuwa ni ukoloni tu

Hapa unatetea mediocrity, swala hapa ni zaidi ya lugha.Watanzania -hasa hawa ma-"star"- wana nafasi ya kusema mimi siongei Kiingereza, nataka kuongea Kiswahili, lakini either kwa kujua realpolitik za mawasiliano duniani leo na kwamba Kiingereza ni muhimu, au kwa kukosa kujiamini na kudai kutumia Kikswahili, huishia kutumia Kiingereza.Kwa hiyo either wanajiumbua na lugha wasiyoijua unnecessarily -which reflect more than language issues, decision making issues too- au wanaelewa kuwa Kiingereza ndicho Kiswahili cha dunia na hawana budi kujikokota hivyo hivyo na kwamba watu hawana muda na wakalimani na kuna mambo hayataki "delayed effect" wala possibility ya vitu kuwa "lost in translation"

Kusema jamaa aongee kiingereza kibovu kwani ni tatizo la kitaifa hakutatui tatizo, kunalikumbatia tatizo na hata kulipenda tatizo.Unaweza kulioa hili tatizo ukazaa nalo watoto bure.
 
kuna taarifa kuwa kinachomkuta kanumba ni kutokana na tabia yake mbaya aliyoifikia baada ya kupata umaarufu,wadau wake wa karibu wanasema kuwa jamaa amekuwa na nyodo ukimpigia simu ni lazima apokee kwa kizungu kila baaada ya neno moja la kiswahili anachanganya na umbombo sasa wanasema kuwa wengi walidhani kuwa jamaa anakifahamu vizuri kimombo kumbe bado naye yumo katika kundi lilelie la wabongo wengi ,wanasema jamaa alikuwa akitumia nafasi yakeya kufika hicho kidato cha nne kumkandamza vicent kigosi kuwa kaishia darasa la sita na ndio maana aliogopa kwenda nigeria kwa kuwa hajuai kiingereza yeye yadaiwa ndiye aliyekuwa akisambaza habari hizo kwenye vyombo vya habari na ndio maana ikafikia wakati waligombana na ray sasa yadaiwa kuwa haya yaliyomkuta kwenye big brother ingawa ni ya kawaida sana lakini jamii ina mhukumu kutokana na tabia yake hiyo aliyoionyesha huko nyuma pia inadaiwa kanumba si mkweli alipokwenda uingereza kutengeneza filamu aliyomegewa pande na dada asha baraka akatangaza kuwa amealikwa na mastaa wa uingereza katika fani hiyo hivi majuzi alivyokwenda marekani inadaiwa alinuanua kinyago mtaani akapiga nacho picha na kuituma bongo akidai kuwa kapewa tuzo na mzungu gani sijui pia habari zake za kuwa alitinga holywood ni za uzushi kwani dunia hii ya sasa ni kijiji na hivi majuzi alifanya kituko cha mwaka wakati wa utambulisho wa bebdi ya extra bongo pale sigara kiasi cha kuwachefua waandishi wa habari na wageni waalikwa waliyokuwepo wakati Ally choki akitambulisha marafiki zake waliompa msaada wa hali na wengine mali inadaiwa kanumba alipoitwa jukwaani kwanza alificha uso chini kwa dakika kadhaa kisha ikabidi ainuliwe na sauti za waandishi na hata alipopanda mbele ya jukwaa akawa bado anawaonea aibu waalikwa waliokuwepo yaani kwa waliohudhulia ni kama alikuwa anafanya ujinga fulani ambao haupo katika jamaii za kiafrica .maoni ya wengi mtaani waliyonaye karibu wanadai kuwa kanumba anaharibika ameanza kuwa na nyodo za kipumbavu hivyo wanadai huu ni wakati wake wa kubadiliaka hivyo na kujifunza hiyo lugha kwa njia yeyote.

nakubaliana na mawazo ya wengine asikatishwe tamaa na yaliyomkuta huko big brother ila ukweli unabaki pale pale wengi hatujui lugha hii tumeathirika na mazingira tuliyosomea ni vyema kanumba akatambua kuwa ni wakati wake wa kupunguza hizo nyodo na majungu kwa wasanii wenzake kama inavyodaiwa na badala yake awape ushirikianao. hayo ndio maisha ya kanumba kwa ufupi huko mitaani ukishapata umaarufu pesa na lugha inabadilika.
 
Kama umefuta, hewala umeshaona nilivyo ingawa uso ulikuwa umenivimba saana sijui kwa nini? Kitendo cha kuondoa rangi bila idhini yangu tayari ni makosa hivyo kwa masharti ya Jamiiforums, huwezi kuweka sura yangu maana utakuwa umevunja MIIKO ya JF.
Usijali, mimi naijua sana miiko ya hapa JF kuhusu kuweka habari za member humu, so mimi sitaweka chochote hapa, ila naona umefanana kidogo na yule member anayependa kutundika mara kwa mara habari za airport na safari za ndege !!
 
Mkuu,
Wakati napiga hiyo picha hata sijui nilikuwa nimepatwa nini maana picha zote za nje naonekana uso umevimba si kawaida. Mwenyewe nikiangalia nashindwa kuamini kama ndiyo mimi. Kama tukikutana na utumie hiyo picha kama kigezo, basi inabidi uwe na bahati uso uwe umevimba tena, Nafikiri nilikuwa na matatizo na mambo ya Presure.

Humu ndani sifahamu kama kuna ndugu yangu. Nina ndugu wa karibu kwenye hayo mambo ila hatufanani kabisaa na sidhani kama ni memebr wa JF. Tuendelee kumkoma kijana wetu Kanumba.
 
Semilong,

Hiyo ni picha yangu kweli. Ila nimepulizia rangi usoni kwa makusudi ili kuficha sura yangu. Kijana alitaka kuona urefu wangu na nimemtumia picha aone mwenyewe na sikutaka kuonyesha sura, kwa makusudi nimepulizia rangi kwenye photoshop.

...ha haha ndunje utawajua tuu wanajitetea kwa nguvu zote,anyway hakuna kitu kibaya kuwa mfupi,ila FYI mimi ni 6'4" !
 
...ha haha ndunje utawajua tuu wanajitetea kwa nguvu zote,anyway hakuna kitu kibaya kuwa mfupi,ila FYI mimi ni 6'4" !

Matiti ya bibi yako. Eti uko 6'4.....6'4 unaijua wewe mluguru? Wewe uko 5'4
 
...ha haha ndunje utawajua tuu wanajitetea kwa nguvu zote,anyway hakuna kitu kibaya kuwa mfupi,ila FYI mimi ni 6'4" !

Matiti ya bibi yako. Eti uko 6'4.....6'4 unaijua wewe mluguru? Wewe uko 5'4

Kumbe Koba ni Mluguru? Ndiyo maana maneno na kujisifu kwingi. Watu wa milimani hawawezi kuwa warefu maana wataanguka sana. Ndiyo maana hata Wapare ni wafupi sana " baba thao ni thithi, na watoto ni thithi".

Koba huo urefu wee OTA tu maana itabidi wee na babu yako muungane ndiyo mfikie urefu wa Kijana wetu wa Kinyamwezi Hasheem Thabeet.

Mkuu, hata kwenye shamba la Mpunga hupati shida kujificha....
 
Huyu hapa jamaa analialia. Asanteni jamaa wa Bongomusicvideo kwa kuiweka hii kwenye youtube. Sasa wote wataweza msikia kijana wangu.
Kanumba narudia tena, nenda shule ndugu yangu. Wewe siyo mwana NKIMA ila ni Mwana Ngosha.....

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=NIsJd2MF56w[/ame]
 
Huyu hapa jamaa analialia. Asanteni jamaa wa Bongomusicvideo kwa kuiweka hii kwenye youtube. Sasa wote wataweza msikia kijana wangu.
Kanumba narudia tena, nenda shule ndugu yangu. Wewe siyo mwana NKIMA ila ni Mwana Ngosha.....

http://www.youtube.com/watch?v=NIsJd2MF56w

Jamaa uelewa ni mdogo hata kwa kiswahili, Kwa nafasi yake majibu ya namwachia Mungu hayana nafasi hayo ni ya wavivu wa kufikiri na sio celerebrity/star muelewa. Umeulizwa nafasi ya Kiinglish TZ na muulizaji kisha kupa angalizo usizungumzie show wewe bado unazungumzia show ya BBA. Mkuu Njoo British Council wenzio tupo hapo tunakula nondoz sasa hatua ya 5.
 
Matiti ya bibi yako. Eti uko 6'4.....6'4 unaijua wewe mluguru? Wewe uko 5'4

..wewe kanumba aminia tuu Koba hapa ni 6'4" na wala sidanganyi na nilikuwa sijui kama urefu deal,anyway kwetu wote warefu kwa hiyo 6'4" sio ajabu
 
..wewe kanumba aminia tuu Koba hapa ni 6'4" na wala sidanganyi na nilikuwa sijui kama urefu deal,anyway kwetu wote warefu kwa hiyo 6'4" sio ajabu

aisee wewe endelea kujidanganya mwenyewe tu.
 
Back
Top Bottom