Steven Kanumba Profile

Steven Kanumba Profile

Kanumba baada ya kufeli f 4 pale Neruka secondary Mbagala Dar es salaam,alikutana na Mr Mtitu wa First Game quality ambae ni Producer na movie director ambae alimwombea kwa ndugu Cresent Mhenga kiongozi wa Kaole Group wa wakati huo afundishwe kuigiza na apewe episodes ktk michezo ya kaole iliyokuwa inarushwa na ITV.Zaidi ya secondary anajasoma popote.nimework na fist game quality na kaole kwa miaka zaid ya 4 so I know these guys tokea mwaka 47

Na kwa kweli ameridhika, ana VX hana haja ya kujiendeleza hata kusomea film. Ila bira ya Kanumba kuliko Ray
 
Mkuu Lizzy,, ulichoweka hapa ni tofauti na CV inayoulizwa na mtoa thread,siamini kama hufahamu maana ya CV
 
Sipati picha siku wadau humu wakitaka kujua profile yangu, maana wengi hawajui hii ID ya Tegelezeni inatumiwa na mtu maarufu na mwenye makeke hapa nchini................LOL

Unanikumbusha thread yangu: what is behind our avatars!!!
 
Nimepitia hizo zinazoitwa, profile, bado sijaona kitu wakuu. Profile ni lazima ikuache bila maswali juu ya kiwango cha elimu ya mtu. Ukishaona unapata utata kujua kiwango cha elimu ya mtu, maelezo mengine yote yanakuwa hayana maana kwani nao utakuwa uongo mtupu.

Nadhani kuna walakini ktk hili, na wasanii wengi wako hoi.

Hivi K-Basil yuko wapi waheshimiwa?
 
K Basil ni Mchungaji wa Kilokole(very serious) na amesomea kabisa! Huyu jamaa alikuwa anakesha Meeda akifanya vituko vya kilevi lakini kweli Mungu Mkubwa! Ukimuona huwezi amini amebadilika kabisa kitabia! Glory to Jesus
 
No dear Profile is bigger than CV mfano soma hapo juu profile ya P didy!

Pengine aliyenifundisha alinipotosha, inabidi nikubali tu alafu nisubirie wakileta hiyo CV na profile niangalie tofauti.
 
anyway! Kwa mtizamo wa tunayozungumzia nafikiri anamaanisha deeper than that
 
Tukichukulia mfano wa star kama huyu P.didy angalia profile yake:

Birth NameSean John Combs

Birth Date

November 04, 1969

Birth Place

New York, New York, USA

Height

5' 11"

Nationality

American

Education

  • Graduated from the Roman Catholic Mount Saint Michael Academy in Bronx in 1987
  • Attended Howard University in Washington, D.C., majored in Bussiness
P. Diddy Family

Father

Melvin Combs (d. 1972)

Mother

Janice Combs

Sister

Keisha Combs

Relation

Misa Hylton-Brim (stylist), Jennifer Lopez (singer, 1999 - 2001), Kim Porter (model, 1997 - Jul 2007), Sarah Chapman

Son

Justin Combs (b. 1994), Christian Casey Combs (b. 1997)

Daughter

D'Lila Star, Jessie James (twins, b. 21-Dec-06), Chance (b. 2006)

HAHAHAHAHA
wa weke muanze kufananisha na hawa wa USA,si unaelewa tena wasanii wa bongo wliowengi elimu kwapani na usanii ndio kazi ya kutegemea,huwezi fananisha na hawa jamaa check jamaa alivyokata kashule bana

kanumba usiweke na tena umande ndio huo ulikimbiwa
 
Kina Kanumba wanaogopa nini kuweka profile zao mezani wapenzi wa filamu zao wakawajua kiundani kama hawa mastar wa nje?
wengine wanaogopa kuandika umri maana vikongwe
 
Sipati picha siku wadau humu wakitaka kujua profile yangu, maana wengi hawajui hii ID ya Tegelezeni inatumiwa na mtu maarufu na mwenye makeke hapa nchini................LOL
. Eti maarufu na mwenye makeke, hapo ni kipi kimeleta kingine, umaarufu umeleta makeke au makeke yameleta umaarufu?
 
Hii hapa. . . .
Info zaidi chungulia Kanumba, The Great

Steven Charles Kanumba (born January 8, 1984), is a multi award winning Tanzanian actor, with a career spanning more* than a decade. Kanumba has received numerous awards, including; Best Actor of the Year, 2006, Best Actor in Tanzania Award, 2007, Best Artist of the Year* Award, 2007/2008.

Kanumba began acting at an early age, acting in as many church plays as he could, until he had the opportunity after leaving school to act and train with the Kaole Sanaa Group and receive special training with Dr Nyoni at the University of Dar es Salaam which served as a* major stepping stone for his mainstream acting career.

Kanumba began his acting career with appearances in a host of local Tanzanian soap operas like, Jahazi, Dira and Tufani just to name a few. He then expanded his horizon by venturing into the film industry, his first movie being Haviliki,* which was just the beginning of great journey, for* “The Great”.

Not only is Kanumba a Tanzanian household name, but he's also acted in Nollywood (Nigeria) with some of the greatest names on the Nollywood scene which expanded his career and experience from just being a Tanzanian star to an African star with ambitions of acting in Hollywood.
Having achieved so much before the age of thirty, Kanumba feels that he's only just begun. He looks forward to a long and fruitful career in every area of* the film industry.

Not only is he a successful film star and producer, he is also very active in philanthropy. He has recently been named the OXFAM GROW ambassador for Tanzania.
*
Kanumba extends his love and gratitude to each and everyone that has helped along the way in his career; "first and foremost The Lord God, My Family especially my Mother, Chrissant Mhengga, Kaole Sanaa Group, Mr & Mrs. Mtitu G Game, Sharifa Kalala, Sanura Husein,* Vicent Kigosi, Producers, Directors, Artists, Friends and Loved ones and last but not least my fans all around the world".

we nawe utaona umefanya bidii kuleta habari za kanumba? Si Ndallo kaambatanisha kitu hii kwenye webu ya Kanumba?
 
kama kweli maisha ya duniani (ULAYA&MAREKANI) Yanaaina ya watu kama watanzania basi hii dunia yote imejaa vituko,wabongo wanajua kila kitu,wabongo wanataka Mrisho Ngassa acheze kama Messi...wabongo wanataka Kanumba na Ray waigize na waishi kama mastaa wa hollywood ,,mnawabeza mastaa wetu utadhani wameandaliwa mazingira ya kufanya kazi ,,kama staa hakuenda shule tatizo liko wapi...? filamu za Nijeria zilikuwa na soko sana mwishoni miaka ya tisini na mwanzoni mwa elfu mbili leo hii ziko wapi? hiyo miziki ya kongo iko wapi? mastaa wetu wanaganga njaa kama wewe unavyoganga njaa kwenye kazi yako ,,,,hata kama walifeli ila leo hii ni TOPIC OF DISCUSSION
 
Hii hapa. . . .
Info zaidi chungulia Kanumba, The Great

Steven Charles Kanumba (born January 8, 1984), is a multi award winning Tanzanian actor, with a career spanning more* than a decade. Kanumba has received numerous awards, including; Best Actor of the Year, 2006, Best Actor in Tanzania Award, 2007, Best Artist of the Year* Award, 2007/2008.

Kanumba began acting at an early age, acting in as many church plays as he could, until he had the opportunity after leaving school to act and train with the Kaole Sanaa Group and receive special training with Dr Nyoni at the University of Dar es Salaam which served as a* major stepping stone for his mainstream acting career.

Kanumba began his acting career with appearances in a host of local Tanzanian soap operas like, Jahazi, Dira and Tufani just to name a few. He then expanded his horizon by venturing into the film industry, his first movie being Haviliki,* which was just the beginning of great journey, for* “The Great”.

Not only is Kanumba a Tanzanian household name, but he's also acted in Nollywood (Nigeria) with some of the greatest names on the Nollywood scene which expanded his career and experience from just being a Tanzanian star to an African star with ambitions of acting in Hollywood.
Having achieved so much before the age of thirty, Kanumba feels that he's only just begun. He looks forward to a long and fruitful career in every area of* the film industry.

Not only is he a successful film star and producer, he is also very active in philanthropy. He has recently been named the OXFAM GROW ambassador for Tanzania.
*
Kanumba extends his love and gratitude to each and everyone that has helped along the way in his career; "first and foremost The Lord God, My Family especially my Mother, Chrissant Mhengga, Kaole Sanaa Group, Mr & Mrs. Mtitu G Game, Sharifa Kalala, Sanura Husein,* Vicent Kigosi, Producers, Directors, Artists, Friends and Loved ones and last but not least my fans all around the world".

Is this a profile or History?

Angalia mfano wa profile ya P.Diddy hapo juu.
 
Back
Top Bottom