Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Hahahaaa huyu Msukuma hatasi sana! Yaani inamaana hadi kwa hawa members wanaomtetea hadi kutukana kashawapitia the the the. Jamaa ana Zero form6 jitegemee na hayo majina hayajaenda alphabetically kama necta ina maana mtu wa PCB anakaa karibu na mtu wa HKL? Even if after BCB wanakaa HKL steven anakuwa wa kwanza? Haya mteteeni bwana wenu sasa!