Ifike mahali tuwafikirie na vijana wanaochipukia nao wapate madaraka,hivi mtu kama huyu ukimpa uraisi si ndio itakuwa yale ya kina Mugabe...Mzee bado hajakata tamaa na ameyatamka hayo hadharani kwenye vikao vya ccm Dodoma alipohojiwa na waandishi wa habari
View attachment 1503513
Wabishi wenzie kina Mkuchika wanaaga yeye anagonga mlango aingie tena
Aahha...watu hawataizoea aisee hiyo sanamiHuyu mzee ajengewe sanamu
Mkuu Mkuchika tayari ashatangaza kabisa kuwa naye yupo kwenye mtanange, watu wakamuuliza itakuwaje na uzee huo ukaweza kuwawakilsha walio kuchagua?
Jibu lake lilikuwa kuwa bungeni yeye haendi kubeba mawe au kupasua miamba bali ni akili tu.
..watakaoichonga wajitahidi sana kutengeneza sanamu ambayo itakuwa "hendsamu" kuliko jamaa alivyo....Alafu hiyo sanamu itaonekanaje kwa mfano?
Hahha nimesoma na mtoto wake yaani majanga tuMkuu Mkuchika tayari ashatangaza kabisa kuwa naye yupo kwenye mtanange, watu wakamuuliza itakuwaje na uzee huo ukaweza kuwawakilsha walio kuchagua?
Jibu lake lilikuwa kuwa bungeni yeye haendi kubeba mawe au kupasua miamba bali ni akili tu.
Watoto watakuwa wanazimia...na wanawake Kama una mimba changa inayeya🤭Alafu hiyo sanamu itaonekanaje kwa mfano?
Alafu hiyo sanamu itaonekanaje kwa mfano?
Ina tumbo kubwa na kibamiaAlafu hiyo sanamu itaonekanaje kwa mfano?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mazee kama hayo ndio jiwe anatakiwa kuyakata mapema.
Watoto watakuwa wanazimia...na wanawake Kama una mimba changa inayeya[emoji2960]
Wakat alivyo tu ni sanamu
Jiwe mwaka huu ana kazi nzito ya kukata wasiomfaa.mazee kama hayo ndio jiwe anatakiwa kuyakata mapema.
Pesahivi hawa wanasiasa kinachowasukuma kugombea ni ile hamu tu ya kuwa mbunge au kweli wanakuwa na nia na maono kwa ajili ya kutumikia wananchi?
Makongoro muhuni kweli! Eti, mzee Wasira hajui msamiati wa KUNG'ATUKA!Umenikumbusha ile clip yA Makongoro Nyerere "YUPO"
Huyu mzee amechanganyikiwa babu mzima umesahau nini bungeni?Mzee bado hajakata tamaa na ameyatamka hayo hadharani kwenye vikao vya ccm Dodoma alipohojiwa na waandishi wa habari
View attachment 1503513