Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Jibu sio sahihi bungeni ni kupiga meza tu na kisomo chako cha kusoma na kuandika sanasana na PhD ya jalalani vipato kibao havipatikani popote pengine labda Ikulu tu kwa kisomo hichohicho. Wengine wanakwenda bungeni kuzungusha makalio na kupiga kura ya ndioooo na kutoka na pochi iliyojaa ndo maana kila mwanachama wa Chama ananunua wapiga kura ilmradi achaguliwe akavune. Wazee pamoja na kisomo chao kikubwa nao wamo kwani wana wajukuu wa kucheza nao. Tyson diehard hakushindwa na mwanamke, alishindwa na mpinzani mahili!Mkuu Mkuchika tayari ashatangaza kabisa kuwa naye yupo kwenye mtanange, watu wakamuuliza itakuwaje na uzee huo ukaweza kuwawakilsha walio kuchagua?
Jibu lake lilikuwa kuwa bungeni yeye haendi kubeba mawe au kupasua miamba bali ni akili tu.