Uchaguzi 2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

Mkuu Mkuchika tayari ashatangaza kabisa kuwa naye yupo kwenye mtanange, watu wakamuuliza itakuwaje na uzee huo ukaweza kuwawakilsha walio kuchagua?

Jibu lake lilikuwa kuwa bungeni yeye haendi kubeba mawe au kupasua miamba bali ni akili tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hawa wazee wabishi balaa.
 
Mzee wangu kuna kitu kinaitwa kustaafu!! Miaka 70 kukimbizana na vijana damu changa mzee wangu utaanguka majukwaani!!
 
Kumbe wewe ni mzee kabisa? Kwa mapambio yako nilifikiri upo uvccm! Kuna wazee wapumbav sana aisee!
 
nauliza ubunge unautamu gani haswa!!
ni posho nono tu, au kuna jingine?!
kuna haja ya kufanya utafiti maaana sio kwa vikumbo hivi vya kugombea ubunge ni hatari sana!
nashauri kama ni posho na marupurupu ya ubunge ndio sababu basi kuna haja ya kupinguza posho na marupurupu ili tupate wayumishi wazalendo
 
Hasomi arama za nyakati,hajajua kama hatakiwa,teuzi zote hizi hajapewa hata ukatibu Tarafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…