Uchaguzi 2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani katika serikali za awamu zilizopita, Stephen Wassira amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara.

Habari Star TV Tanzania

Sasa ni rasmi GENTAMYCINE naanza Kuamini kuwa huenda Wanadamu wengine Maulana / Mola alivyowaumba hakuwawekea Mishipa ya Aibu.
 
Hahaaaaaa........ 😆 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…