Mama.Yakobo wa kwenye Bible ni Rebeka, hakuwa mshangazi!, ila alikuwa mtu wa ma dili!. Alibeba ujauzito wa pacha, wakati wa kujifungua Esau akatanguliza mkono, akafungwa kitambaa chekundu cha kibali cha mzaliwa wa kwanza, kisha akarudisha mkono tumboni ndipo Yakobo akatsngulia kutoka, kisha Esau akatoka.
Essau akawa nuwindaji, Yakobo mfugaji. Mama akala dili na Yakobo kumpoka Essau kibali cha mzaliwa wa kwanza.
Akampikia Essau chakula kizuri anachokipenda akampa Yakobo sseme ni chake, Essau alipoomba chakula, Yakobo akamgomea mpaka ampe haki ya uzaliwa wa kwanza!, shauri ya njaa, Essau akakubali, akauza haki yake kwa mdogo wake.
Isaka alipozeeka akawa haoni, akamtuma Rebecca amuitie Essau, kisha Rebecca akajibanza nyuma ya mlango kusikiliza kwa siri baba anamwambia nini Essau..
Isaka akamwambia Essau akamuwindie ile nyama pori anayoipenda, anuabdalie ale kisha ambariki anaona siku zake zimekaribia.
Esssu akaenda kuwinda, huku nyuma Rebecca akamtuma Isaka kuchinja mwana kondoo, mama akamtayarishia vile baba anapenda, akampa Yakobo akampe baba akijifanya ni Esssu. Akamfunga ngozi ya kondoo mikononi miguuni na kifuani.
Yakobo akampelekea baba yake akijifanya ni Esssu amerudi mawindoni!.
Kwanza baba akashanga how come leo amerudi mapema?, kisha akasema sauti mbona ni ya Yakobo!. Akamwambia asogee karibu ampapase, akapapasa ile ngozi ya kondoo, akasema mwili ni wa Essau, ila sauti ni ya Yakobo, akambariki. Essau aliporudi na nyama pori akamuandalia Baba, baba akamwambia mbona nimeisha letewa na baraka nimeisha toa, Essau akamwambia baba umedanganywa hivyo nibariki mimi, ndipo baba akamwambia baraka zinatoka mara moja tuu!.
Essau akamind ssna na baada ya muda mfuoi Isaka alifariki, wakamzika na baada tuu ya kuzika, Rebeka akamtirisha Yakobo akatorokea kwa mjomba wake Labani, akawaoa mabinti wawili wa Labani Lea na Raeli, waliiozaa watoto 12 ambao ni makabila 12 ya Israel.
Kwenye watoto hao 12 hakuna aliyeoa mke mmoja!.
P