Steven Wassira atimiza miaka 80 MiIzengo pinda atmiza 77

Steven Wassira atimiza miaka 80 MiIzengo pinda atmiza 77

Niliingia jf nikiwa kijana nikitumia jina la ujana
Pasco wa jf
Baada ya kuvuka 50 ni mtu mzima naitwa jina la kiutu uzima Paskali
Soon nitatinga 60 na nitaanza rasmi kutumia title ya Mzee Pasco!.
Nina miji miwili, watoto 9 na wajukuu 7!.
P
Loh! Kwa hilo Paskali umenizidi. Mimi bado nina mji mmoja tu. Ila kwa sasa mimi ni Mzee.
 

Attachments

  • IMG-20250115-WA0008.jpg
    IMG-20250115-WA0008.jpg
    77.1 KB · Views: 3
Mimi nina miji miwili kiukweli kweli, nilikuja kugundua mji mmoja sio mpango wa Mungu, ni hadaa tuu za wazungu waliotuletea Ukristo lakini kwenye Biblia hakuna popote Mungu ameamrisha mke mmoja na hakuna nabii yeyote aliyekuwa na mke mmoja!, hata ... alihudumiwa na wanawake watatu, Maria Magdalena, Maria Salome na Veronica!.
Enzi za Brother, nilimshauri tuachane na uongo wa dini za wazungu "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
Pascal Mayalla I love you for this, una akili sana na unaona mbali. I really don't like dini za kuletewa as they don't represent anything African rather make our people stupid kuamini vitu ambavyo havina kichwa wala miguu. Hongera kwa kuwa na miji hiyo 👏
 
Umejuaje kama Paskali or Pasco ni jina la Kikristo? Nadhani hilo ni jina la Kizungu lisilo na uhusiano wowote na dini; Uarabuni kuna Wakristo wanaitwa Abubakari or Aziz, mfano ni the former minister of international affairs wa Saddam Hussein bwana Tariq Aziz, yule alikua Mkristo kwa baba na mama yake.
True ila kwa hapa Tanzania ulishwahi kuona Mohammed Mkristu au Christopher Muislam?
 
True ila kwa hapa Tanzania ulishwahi kuona Mohammed Mkristu au Christopher Muislam?
Ninao wengi tu, kwasababu sina idhini yao siwezi kutaja majina yao hapa, kuna mtu anaitwa Modest, yupo Steven but sorry siwezi kutaja surnames zao. Watu wanabadiri dini na majina ya vyeti vyao yanabaki
 
Back
Top Bottom