Steven Wassira atimiza miaka 80 MiIzengo pinda atmiza 77

HIki kisanga huwa jinafurahisha sana,sema Labani ndio alikuwa mtoto wa mjini,style aliyotumia kuwaoza mabinti zake ilikuwa ni ujanja ujanja tu
 
Niliingia jf nikiwa kijana nikitumia jina la ujana
Pasco wa jf
Baada ya kuvuka 50 ni mtu mzima naitwa jina la kiutu uzima Paskali
Soon nitatinga 60 na nitaanza rasmi kutumia title ya Mzee Pasco!.
Nina miji miwili, watoto 9 na wajukuu 7!.
P
Hongera sana. Kumbe kaka nawe umeendelea sana, hongera sana mkubwa. Hapo kuwa na miji miwili ndipo haswaaa kwa nilivyoelewa mie.
Nimekuwa shabiki wako hapa JF kwa kuzisoma mada zako zooote. Endelea kutufikirisha na kutuelimisha kwa .mada zako.
 
Umejuaje kama Paskali or Pasco ni jina la Kikristo? Nadhani hilo ni jina la Kizungu lisilo na uhusiano wowote na dini; Uarabuni kuna Wakristo wanaitwa Abubakari or Aziz, mfano ni the former minister of international affairs wa Saddam Hussein bwana Tariq Aziz, yule alikua Mkristo kwa baba na mama yake.
 
Hongera Mzee PAM... Uko nondo sana.

Yakobo niliyekzungumzia ni mwana WA zebedayo.

Mariam Salome ni mtu anayejulikana katika maandiko ya Kikristo, hasa Agano Jipya. Yeye alikuwa mmoja wa wanawake waliomfuata Yesu na kuhudumu katika huduma yake, na anatajwa kama mmoja wa wanawake waliokuwa pale wakati wa kusulubiwa kwa Yesu na waliokwenda kaburini kwake siku ya kwanza ya juma.

Katika baadhi ya maandiko ya kidini na mapokeo, Mariam Salome inachukuliwa kuwa mke wa Zebedayo na mama wa mitume wawili, Yakobo Mkubwa na Yohane, wana wa Zebedayo (Mathayo 27:56 na Marko 15:40). Hawa ni mitume wawili muhimu waliomfuata Yesu na kuchangia kueneza Injili.
 
Niliingia jf nikiwa kijana nikitumia jina la ujana
Pasco wa jf
Baada ya kuvuka 50 ni mtu mzima naitwa jina la kiutu uzima Paskali
Soon nitatinga 60 na nitaanza rasmi kutumia title ya Mzee Pasco!.
Nina miji miwili, watoto 9 na wajukuu 7!.
P
Hongera P.
 
Kama wewe ni mkatoliki jiandae siku ukifa utazikwa na katekista haijalishi ulijitoa kivipi hapo kanisani,pariko au padre watahudhuria kama wahudhuriaji wengine
 
Vincenzo Jr wewe kibabu umeona vibabu vyenzako vinakula cake ya taifa lakini wewe uko busy unakimbizana na wazungu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kama wewe ni mkatoliki jiandae siku ukifa utazikwa na katekista haijalishi ulijitoa kivipi hapo kanisani,pariko au padre watahudhuria kama wahudhuriaji wengine
Nitazikwa kama alivyozikwa Didas Masaburi, hakuna kanisa lolote linampeleka mtu peponi!, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo!.
P
 
Wassir.. amezeeka hadi anashindwa kuomba kura mwenyewe,inabidi pinda amuombee kura๐Ÿ˜ณ
 
Niliingia jf nikiwa kijana nikitumia jina la ujana
Pasco wa jf
Baada ya kuvuka 50 ni mtu mzima naitwa jina la kiutu uzima Paskali
Soon nitatinga 60 na nitaanza rasmi kutumia title ya Mzee Pasco!.
Nina miji miwili, watoto 9 na wajukuu 7!.
P
Kikatoliki huzikwi na kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ