Steven Wassira atimiza miaka 80 MiIzengo pinda atmiza 77

Niliingia jf nikiwa kijana nikitumia jina la ujana
Pasco wa jf
Baada ya kuvuka 50 ni mtu mzima naitwa jina la kiutu uzima Paskali
Soon nitatinga 60 na nitaanza rasmi kutumia title ya Mzee Pasco!.
Nina miji miwili, watoto 9 na wajukuu 7!.
P
Loh! Kwa hilo Paskali umenizidi. Mimi bado nina mji mmoja tu. Ila kwa sasa mimi ni Mzee.
 
Pascal Mayalla I love you for this, una akili sana na unaona mbali. I really don't like dini za kuletewa as they don't represent anything African rather make our people stupid kuamini vitu ambavyo havina kichwa wala miguu. Hongera kwa kuwa na miji hiyo 👏
 
True ila kwa hapa Tanzania ulishwahi kuona Mohammed Mkristu au Christopher Muislam?
 
True ila kwa hapa Tanzania ulishwahi kuona Mohammed Mkristu au Christopher Muislam?
Ninao wengi tu, kwasababu sina idhini yao siwezi kutaja majina yao hapa, kuna mtu anaitwa Modest, yupo Steven but sorry siwezi kutaja surnames zao. Watu wanabadiri dini na majina ya vyeti vyao yanabaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…