Hebu njooni na longterm plan basiSTENDI YA DALADALA ingevunjwa na ingejengwa ingine pembeni ya Magufuli pale eneo ambalo serikali ilikuwa imebomoa kwa hila za mtu mmoja! eneo kubwa sana lile wangepunguza watu kujaa barabara kubwa huku na mji ungependeza!
Umenena vyema.......kale kastend ka magufuri terminal ni kadogo kwa abiria wa kutoka na wa kuingia jijini...Vijengwe vituo viwili, kimoja cha kupokea mabasi ya kutokea safarini, nyingine ni ya kuondokea kwenda safarini baaaasi
Kituo kingine kijengwe upande wa pili wa barabara siyo upande huo huo wa stendi ya Magufuli
Ili upate kura za ndiyo huwezi weka long term plan. Iyo ni biashara ya kisiasa mkuuHebu njooni na longterm plan basi
Mnapenda jenga,bomoa,jenga bomoa
Ova
nchi inakua kama haina plan ya muda mrefu, haina wataalamu wa barabaraHabari Wanajamvi
hii ni kuweka kumbukumbu tu
Kwa wasiojua Mbezi ndio kuna Stendi ya Magufuli pia kuna stendi ndogo ya daladala
baada ya miaka 5-10 kwa miundombinu inayojengwa Mbezi haitoweza kukidhi kutakua na foleni zaidi ya ile iliyokuwa Ubungo.
Tanroad wamejitahidi lakini sidhani kama walifanyia tathmini ya eneo lile na ukuaji wake wingi wa watu na wingi wa magari,makutano ya barabara ya goba,kinyerezi,mpigi magohe
naona kama wanabahatisha
nchi inakua kama haina plan ya muda mrefu, haina wataalamu wa barabara
nipo pale nimekaa tukutane 2027 mtaniambia
Nawasilisha
Ilikuwa iwe KibahaWatasogeza mlandizi huko..kukosa plan ndio sera ya kijana..nchi inaenda kwa matukio.
#MaendeleoHayanaChama
Et vya hapa na pale [emoji3][emoji3]Naona wanajenga vidaraja vya juu vya hapa na pale, ngoja tuone vitasaidia nini..