zugimlole
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,078
- 1,352
Habari Wanajamvi
hii ni kuweka kumbukumbu tu
Kwa wasiojua Mbezi ndio kuna Stendi ya Magufuli pia kuna stendi ndogo ya daladala
baada ya miaka 5-10 kwa miundombinu inayojengwa Mbezi haitoweza kukidhi kutakua na foleni zaidi ya ile iliyokuwa Ubungo.
Tanroad wamejitahidi lakini sidhani kama walifanyia tathmini ya eneo lile na ukuaji wake wingi wa watu na wingi wa magari,makutano ya barabara ya goba,kinyerezi,mpigi magohe
naona kama wanabahatisha
nchi inakua kama haina plan ya muda mrefu, haina wataalamu wa barabara
nipo pale nimekaa tukutane 2027 mtaniambia
Nawasilisha