Sticky: Miundombinu inayojengwa Mbezi Louis tukutane 2027

zugimlole

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,078
Reaction score
1,352
Habari Wanajamvi

hii ni kuweka kumbukumbu tu

Kwa wasiojua Mbezi ndio kuna Stendi ya Magufuli pia kuna stendi ndogo ya daladala

baada ya miaka 5-10 kwa miundombinu inayojengwa Mbezi haitoweza kukidhi kutakua na foleni zaidi ya ile iliyokuwa Ubungo.
Tanroad wamejitahidi lakini sidhani kama walifanyia tathmini ya eneo lile na ukuaji wake wingi wa watu na wingi wa magari,makutano ya barabara ya goba,kinyerezi,mpigi magohe

naona kama wanabahatisha

nchi inakua kama haina plan ya muda mrefu, haina wataalamu wa barabara

nipo pale nimekaa tukutane 2027 mtaniambia

Nawasilisha
 
STENDI YA DALADALA ingevunjwa na ingejengwa ingine pembeni ya Magufuli pale eneo ambalo serikali ilikuwa imebomoa kwa hila za mtu mmoja! eneo kubwa sana lile wangepunguza watu kujaa barabara kubwa huku na mji ungependeza!
 
Watasogeza mlandizi huko..kukosa plan ndio sera ya kijana..nchi inaenda kwa matukio.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo unataka useme walidesign bila projection ya population?
Sidhani kama ni hivi, katika mradi wowote Design period ni jambo la kwanza.
 
STENDI YA DALADALA ingevunjwa na ingejengwa ingine pembeni ya Magufuli pale eneo ambalo serikali ilikuwa imebomoa kwa hila za mtu mmoja! eneo kubwa sana lile wangepunguza watu kujaa barabara kubwa huku na mji ungependeza!
Hebu njooni na longterm plan basi
Mnapenda jenga,bomoa,jenga bomoa

Ova
 
Vijengwe vituo viwili, kimoja cha kupokea mabasi ya kutokea safarini, nyingine ni ya kuondokea kwenda safarini baaaasi

Kituo kingine kijengwe upande wa pili wa barabara siyo upande huo huo wa stendi ya Magufuli
 
Umenena vyema.......kale kastend ka magufuri terminal ni kadogo kwa abiria wa kutoka na wa kuingia jijini...
 
Habari Wanajamvi

hii ni kuweka kumbukumbu tu

Kwa wasiojua Mbezi ndio kuna Stendi ya Magufuli pia kuna stendi ndogo ya daladala

baada ya miaka 5-10 kwa miundombinu inayojengwa Mbezi haitoweza kukidhi kutakua na foleni zaidi ya ile iliyokuwa Ubungo.
Tanroad wamejitahidi lakini sidhani kama walifanyia tathmini ya eneo lile na ukuaji wake wingi wa watu na wingi wa magari,makutano ya barabara ya goba,kinyerezi,mpigi magohe

naona kama wanabahatisha

nchi inakua kama haina plan ya muda mrefu, haina wataalamu wa barabara

nipo pale nimekaa tukutane 2027 mtaniambia

Nawasilisha
nchi inakua kama haina plan ya muda mrefu, haina wataalamu wa barabara
 
The Plan....
images (4).jpeg

Versus How Its Going..
images (6).jpeg
 
Back
Top Bottom