Stiegler Dam, Taasisi za Kimataifa Vs. Magufuli

Stiegler Dam, Taasisi za Kimataifa Vs. Magufuli

Hao wanaojiita wanamazingira waache kuingilia mambo ya nchi yetu, yaani sisi tuishi Giza na tukose uwekezaji mbalimbali kisa hakuna umeme wa uhakika wakati tuna vyanzo vya maji vya uhakika vya kuzalishia umeme wakati huo huo wanatucheka nyuma ya pazia kuwa hatujui kutumia rasilimali zetu.

Nadhan wangekuwa kweli ni wapigania mazingira wangeanza na mataifa yao yaliyoendelea ambayo yana tumia nuclear power kuzalisha umeme+kuwa na maviwanda yanayochafua anga na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi duniani
Safi sana
 
Hawa wana mazingira ni hopeless na hawajui shida wanazopata wananchi utakuta wengi wanaoshadadia kwamba mradi huo usijengwe sio watanzania sidhani kama mtanzania wa kawaida anayejua shida za umeme na ambaye tangua azaliwe hajawahi kuona hata nguzo ya umeme inapita kwao kwamba ataleta hoja ya mazingira.... it might be we have one option as u say and that can be according to u & not the govt
vp ule umeme wa gesi ya Mtwara?!?= naona hujagusia hilo,,,,
 
EIA is important. And you believe (like in Jesus Christ). But the President has spoken - he literally said 'f**k the environmental impacts', the project will go on irrespective of environmental impacts (actually, we are only talking about 3% of Selous Game Reserve. Tiny fraction of the 50,000 square kilometer reserve). Do you live in Tanzania? And if you insist on EIA, the President is going to write the report himself. And then we will see if EIA is as important as you believe. Are you following?
I have followed and hopefully understood your argument. I believe I know the way decisions are made in "this era" -all that I am saying is forewarned is forearmed.
 
East of West, Home is the Best.... Tanzania is ours including all resources under or over the land...... I support Maguful
 
Kama watu wa mazingira hawasikilizwi leo basi ningefurahi kama yule anaeitwa Mboye akarudishiwe mradi wake. Busara tu
Uharibifu wa mboye mazara yalikuwa kwa binadamu, ila hii ni kwa wanyama mwitu. Ambao wanaweza kutafuta njia nyingine ya migration
 
Wala sihitaji huruma yako. Tanzania ni nchi yangu nina haki ya kikatiba kukosoa yoyote yale ndani ya nchi yangu ambayo hayaitakii mema Tanzania na Watanzania.

BAK Nakuonea Huruma sana, bado una miaka 8 ya kujitesa, pole sana.
 
It is precisely for the position taken by the president that an EIA would assist the country. If there are going to be negative impacts on the environment (ecologically speaking) I believe it is important to identify them so that the most serious ones may be mitigated and impactees be prepared accordingly for the changes likely to affect their livelihoods.
Producing a report showing no negative EI by design is definitely unethical. I may be naive but what is the purpose of undertaking EIAs when you do not believe in them. To me an EIA is just one of the factors to be considered in decision making but an important one for that matter even if you discount the results.

Masiya!
Just show your true colour this is Great Thinkers Forum as long as you don't use abusive language you can just speak up your mind. I agree with you that this project has been on the drawing table for the past 45 years and it's more complex than making political statements. What we need are facts. Up to 95% of the people who are really shouting don't know anything about Dams that is problem. When Mtera Dam was constructed and completed in 1982 nobody could imagine that it could have stretched and have a total length of more than 35 kilometres. In as much the dam at Stiglers Gorge could engulf almost 100 kilometres and the impact is beyond JPM apprehension together with the people who support him. I wish them good luck that is towards the mouth of the river and the flow has never been precisely estimated and the magnitude of the civil works plus the spill way could cost the Tanzania Tax payers a fortune. All said and done to have an Environmental Certificate isa must. Try to skip it and we shall have nowhere to hide?
 
Back
Top Bottom