FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wewe ni nabii, Magufuli juzi alikutana na wa-Ethiopia watakaotoa ushauri juu ya utekelezaji wa huu mradi, na amesema safari hii hakuta kuwa na sababu za kimazingira zitakazo tiliwa maanani. Ila nii kweli hii ni 2017, 2020 itafika na huu mradi utaombewa kura tena.., hahahahahaha...kitakachotokea ni kwamba huo mradi utacheleweshwa maksudi ili usianze mapema iwezekanavyo maana wenye majenereta wako bize kumaki maprofiti kwenye mikataba walioingia na tanesco. Kwa namna yoyote huo mradi utangangaa uaanza kuzalisha umeme mwaka 2020.
well Rapid buses zimeshaanza kazi, Tazara flyover ujenzi umekamilika kwa 30%, sijui kuhusu umeme wa rufiji.., ila i hope huyu Rais wa sasa hatokuwa mwongo mwongo juu ya hili kama waliomtanguliaRapid Buses,Umeme wa Rufiji,Barabara za juu za Dar,ndio mtaji wa Magamba kuelekea 2015
This time utafanikiwa bila shakanaona umerudi tena mradi!
tukamilishe na tujiridhishe na ripoti ya athari za mazingira (EIA) kwanza then tuutekeleze mradi kwa nia moja kama nchikitakachotokea ni kwamba huo mradi utacheleweshwa maksudi ili usianze mapema iwezekanavyo maana wenye majenereta wako bize kumaki maprofiti kwenye mikataba walioingia na tanesco. Kwa namna yoyote huo mradi utangangaa uaanza kuzalisha umeme mwaka 2020.
hili nalo swaliWhich companies have been shortlisted for this project??
Hata Mimi nilidokezwa vivo hivyo kwa suala la gasniliwahi kudokezwa na ofisa mmoja wa wizara ya nishati, kuwa huu mradi ukitekeleza, tanzania tutasahau matatizo ya umeme, na tutakuwa na ziada ya kuuzia nchi jirani.
kwa kweli mradi umesua for a long time, i hope serikali sasa ina dhamira ya kweli ya kuutekeleza
Hizi hadithi zetu hiixzi
Jamani eeh, hawa wazungu wameyazuia maendeleo yetu for too long! Kwa sasa hakuna kurudi nyuma, hili bwawa lijengwe! Binafsi niko tayari kula pumba na nyasi ilimradi tu bwawa lijengwe, Goooo JPM!
Mkuu upo¿Ndoto za mchana?????????????????????????????????????
kama ulikuepooo...kitakachotokea ni kwamba huo mradi utacheleweshwa maksudi ili usianze mapema iwezekanavyo maana wenye majenereta wako bize kumaki maprofiti kwenye mikataba walioingia na tanesco. Kwa namna yoyote huo mradi utangangaa uaanza kuzalisha umeme mwaka 2020.
Bilioni 700 hazichimbi hata msingi, wenzio wanapewa vibali vya kukata miti milioni moja SELOUS,usicheleweCha ajanu wale wale waliokuwa wansema hatuwezi kujenga kwa sababu hatuna huo uthubutu leo hii tayari na fedha tumeshatenga wanaanza kupinga, binafsi sintokuja kamwe kuwaamini Upinzani wa nchi na ndioy maana wakiwekwa mahabusu huwa nashangilia na kulewa kwa furaha, ni evil people!
I wish ungekueponiliwahi kudokezwa na ofisa mmoja wa wizara ya nishati, kuwa huu mradi ukitekeleza, tanzania tutasahau matatizo ya umeme, na tutakuwa na ziada ya kuuzia nchi jirani.
kwa kweli mradi umesua for a long time, i hope serikali sasa ina dhamira ya kweli ya kuutekeleza