FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wewe ni nabii, Magufuli juzi alikutana na wa-Ethiopia watakaotoa ushauri juu ya utekelezaji wa huu mradi, na amesema safari hii hakuta kuwa na sababu za kimazingira zitakazo tiliwa maanani. Ila nii kweli hii ni 2017, 2020 itafika na huu mradi utaombewa kura tena.., hahahahahaha...kitakachotokea ni kwamba huo mradi utacheleweshwa maksudi ili usianze mapema iwezekanavyo maana wenye majenereta wako bize kumaki maprofiti kwenye mikataba walioingia na tanesco. Kwa namna yoyote huo mradi utangangaa uaanza kuzalisha umeme mwaka 2020.