imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Huu ni utawala wa waongo na matapeli wa kisiasa.Hata ukisoma habari yenyewe unapata shida kuamini. Maana kinachoitwa ni "kuanza mradi kwa kasi" ni kupelekwa mitambo eneo la mradi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni utawala wa waongo na matapeli wa kisiasa.Hata ukisoma habari yenyewe unapata shida kuamini. Maana kinachoitwa ni "kuanza mradi kwa kasi" ni kupelekwa mitambo eneo la mradi.
Kazi ya kujenga kingo za mto contractor anasema atatumia miezi 12 employer anamwambia tumia miezi 9,contractor akasema as you wish sir! Matokeo yake contractor akalipua lipua kazi ili akimbizane na mda wa miezi 9 badala ya 12
mdogo wangu ndo maana nahamasisha michango iendelee na mimi pia ni mchangiaji mkuu.Mello si ni kaka yako mkuu?
Kaijengeni bukoba chalii huyu hatamumsifu hatowasaidia kiivyo acheni tambo mjini,nyumbani mkoa maskini mjini matako yanawalia mbwata. wa haya hamuoni haya?? Dah!!Endelea tuu kumchangia Mello.
Mnaelekea hukohuko Meku. Deko kwisha. Mliambulia enzi hizo sasa mambo yamebadilika.Kaijengeni bukoba chalii huyu hatamumsifu hatowasaidia kiivyo acheni tambo mjini,nyumbani mkoa maskini mjini matako yanawalia mbwata. wa haya hamuoni haya?? Dah!!