Stop dating liabilities.

Stop dating liabilities.

yaani Ile ongea yake ni mbwa Koko anaye bweka, rafiki yake nili kutana nae Baada ya hapo.

aka sema huyo ndo alivyo, yaani kiufupi dishi lisha yumba
Aaaaah Jamaniii, vibayaa hivyooo, sio kweli bhanaa.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaoaje liability, utakuwa huna akili. Wanawake wanaojitambua wapo kibao mbona.
 
Mwanaume usije ukaruhusu kutowajibika kwa mwanamke kuwa wajibu wako. Kama unataka kukua kiuchumi au kimafanikio basi jipe kipaumbele wewe mwenyewe zaidi ya uyo mwanamke.

Kila binadamu ambae ni mtu mzima anawajibika kujihudumia yeye mwenyewe na iyo ndio inatakiwa kuwa sifa ya kuingia katika mahusiano ya kimapenzi.

Ni wajibu binafsi wa jinsia zote mbili yaani mwanaume na mwanamke kusimama kiuchumi na kumudu kujitegemea kabla haujaingia kwenye mahusiano.

Stop dating liabilities who always are in need of humanitarian aids from you, as a yooug man that kind of relationship is hindrance to your progress.

A relationship is a place for two independent, self sufficient and capable people to mutually exchange value with each other and not place to be completely ripped off by another in the name of "baby i love you"

Kama mwanamke unae-date nae haongezi thamani yoyote kwenye kukua kwako kimaendeleo yafanyie tathmini hayo mahusiano yako, sexual pleasure ya dakika chache isikufanye ukaweka rehani mustakhabali wa maisha yako.

Your relationship should make you better, not broke. If she is not adding tangiable value to your life in anyway and constantly demanding urgent aids, that lady is a thief.

I love you, i love you my brother.
Mnapaswa kutuhudumia mnajua 😅😅😅mbona mnatufanyia hivo.
 
Kama mimi nilisema nitaubeba msalaba wangu hana kitu ila nitamwinua 🤣🤣 ila sasa huyu mahi wangu hata kusimamia vitu hajui mradi unamfungulia ila sasa wewe ndo uchakarike mpaka na usimamizi mkubwa ni wewe ni kama yeye ndo kaufungua mradi sasa!
ukiwa busy na shughuli nyingine hata usipopitia siku mbili unakuta kashaharibu.

Mambo ya malezi na ustaarabu wa kuhandle majukumu yake kwa familia na mume huko namkubali anajituma sana ila hapa kwenye maokoto hadi nikakaa huwa nacheka mwenyewe.🤣
Na Diary nimemnunulia ili aandike mahi labda daftari za Msomi hazipendi 🤣 lakini wapi ?
Tuishi humo humo !!
 
MaJitu yana tuma sms Kavu kabsa siku hizi
 
Attachments

  • Screenshot_20240824_184706_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240824_184706_WhatsApp.jpg
    68.3 KB · Views: 11
Mwanaume usije ukaruhusu kutowajibika kwa mwanamke kuwa wajibu wako. Kama unataka kukua kiuchumi au kimafanikio basi jipe kipaumbele wewe mwenyewe zaidi ya uyo mwanamke.

Kila binadamu ambae ni mtu mzima anawajibika kujihudumia yeye mwenyewe na iyo ndio inatakiwa kuwa sifa ya kuingia katika mahusiano ya kimapenzi.

Ni wajibu binafsi wa jinsia zote mbili yaani mwanaume na mwanamke kusimama kiuchumi na kumudu kujitegemea kabla haujaingia kwenye mahusiano.

Stop dating liabilities who always are in need of humanitarian aids from you, as a yooug man that kind of relationship is hindrance to your progress.

A relationship is a place for two independent, self sufficient and capable people to mutually exchange value with each other and not place to be completely ripped off by another in the name of "baby i love you"

Kama mwanamke unae-date nae haongezi thamani yoyote kwenye kukua kwako kimaendeleo yafanyie tathmini hayo mahusiano yako, sexual pleasure ya dakika chache isikufanye ukaweka rehani mustakhabali wa maisha yako.

Your relationship should make you better, not broke. If she is not adding tangiable value to your life in anyway and constantly demanding urgent aids, that lady is a thief.

I love you, i love you my brother.
Mimi sijakuelewa kabisa mkuu
 
Mambo ya malezi na ustaarabu wa kuhandle majukumu yake kwa familia na mume huko namkubali anajituma sana
Kama yupo vizuri hapa inatosha, tayari uyo ni productive woman, ninavyosema asiwe liability simaanishi kwamba lazima awe ana mchango wa kifedha. Sio kila mtu ni mjasiliamali
 
Toa neno hapo mkuu
Tangu mwanzo tambua unataka nini kutoka kwa mwanamke, unataka hela zake tu? basi mpige hela kisawasawa, unataka one night stand tu? piga sepa, unataka mwanamke wa kufanya nae maisha zingatia ana nini kichwani. n.k
 
Back
Top Bottom