Stop dating liabilities.

Stop dating liabilities.

Pesa nahonga, na chumvini nazama, na sio chumvini tu na mawenzi namfikisha, simu nanunua na vocha natuma.

Na hamniambii kitu.
Nimesahau na kodi nalipa.
 
Siku niliyo tambulishwa kwake na nilivyo muona I thought she was the one.

Tuka badilishana namba kwa ajili ya mawasiliano, siku nipo katika mizunguko yangu town we met accidentally.

Ilikuwa mida ya lunch, na Kwa vile nilikuwa sina ratiba ngumu nika mualika tupate kitu mgahawa fulani.

Cha kushangaza aka mpigia simu rafiki yake aje tulipo!!.
It wasn't a problem kwani nili hisi huwa Wana kula pamoja so mwenzie ana weza akawa bored aliko.

PIcha Lina Anza rafiki alivyo fika, aka itwa kwa sauti kubwa!. Aisee lile eneo huwa ni tulivu na watu fulani hivi wastaarabu.
I was left puzzled sema Nika vunga ki comrade tu.

rafiki aka ambiwa agiza chochote, binti mstaarabu kaagiza makaange ya kuku na chipsi tu.
afisa bichwa SI Ika agiza wine ya 35k, makaange na chipsi na still haiku maliza.

Ina kula Huku ina ongea kwa sauti, rafiki kaji tahidi kumbonyeza, ila ni Kama alikuwa ana deki bahari!!

Ika taka kuagiza wine ya 2, rafiki yake aka mwambia zime tosha SI tuna Rudi job, paka shume Ika sema Ina beba kwa ajili ya baadae!!

Mara Eti nime sahau kuku uliza una fanya kazi wapi??, Wana kulipa. Shingapi??.

Mpaka Kuna li shangazi jirani. lika sema we binti uta fanya wanaume wakuone kifaru cha vita
Kifaru cha vita
 
Kosa ni la huyo gelofrend wako kumuita rafiki yake
 
Back
Top Bottom