Stop dating liabilities.

yaani Ile ongea yake ni mbwa Koko anaye bweka, rafiki yake nili kutana nae Baada ya hapo.

aka sema huyo ndo alivyo, yaani kiufupi dishi lisha yumba
Aaaaah Jamaniii, vibayaa hivyooo, sio kweli bhanaa.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaoaje liability, utakuwa huna akili. Wanawake wanaojitambua wapo kibao mbona.
 
Mnapaswa kutuhudumia mnajua πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mbona mnatufanyia hivo.
 
Kama mimi nilisema nitaubeba msalaba wangu hana kitu ila nitamwinua 🀣🀣 ila sasa huyu mahi wangu hata kusimamia vitu hajui mradi unamfungulia ila sasa wewe ndo uchakarike mpaka na usimamizi mkubwa ni wewe ni kama yeye ndo kaufungua mradi sasa!
ukiwa busy na shughuli nyingine hata usipopitia siku mbili unakuta kashaharibu.

Mambo ya malezi na ustaarabu wa kuhandle majukumu yake kwa familia na mume huko namkubali anajituma sana ila hapa kwenye maokoto hadi nikakaa huwa nacheka mwenyewe.🀣
Na Diary nimemnunulia ili aandike mahi labda daftari za Msomi hazipendi 🀣 lakini wapi ?
Tuishi humo humo !!
 
MaJitu yana tuma sms Kavu kabsa siku hizi
 

Attachments

  • Screenshot_20240824_184706_WhatsApp.jpg
    68.3 KB · Views: 11
Mimi sijakuelewa kabisa mkuu
 
Mambo ya malezi na ustaarabu wa kuhandle majukumu yake kwa familia na mume huko namkubali anajituma sana
Kama yupo vizuri hapa inatosha, tayari uyo ni productive woman, ninavyosema asiwe liability simaanishi kwamba lazima awe ana mchango wa kifedha. Sio kila mtu ni mjasiliamali
 
Toa neno hapo mkuu
Tangu mwanzo tambua unataka nini kutoka kwa mwanamke, unataka hela zake tu? basi mpige hela kisawasawa, unataka one night stand tu? piga sepa, unataka mwanamke wa kufanya nae maisha zingatia ana nini kichwani. n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…