Stop dating mentally broke girls

Stop dating mentally broke girls

Wapo wengi tu mbona,shida ipo kwa hawa wanaotaka kuishi maisha makubwa Ilihali uwezo hawana na wametokea kwenye familia za kimasikini (choka mbaya), mwisho wa siku wanaamua kumtumia mwanaume kama ngazi ya kuwafikisha huko.
kwahiyo kaka zetu wafanye kutafuta ambao hawajatoka kwenye familia za kimaskini "choka mbaya" kama unavyosema? ndio wenye tamaa? wasiotoka familia za hivyo hawana tamaa?
 
Aiseee.. ni wasukuma wote wana mentality kama hii ama ni wewe peke yako? What a sad generation
Kwahiyo wewe kazi yako kwa mmeo ni nini? kutoa mbunye na mapusu tu? au kunifulia nguo, kupika, kulea watoto sio?

Nene yaya gete oo nkema wa geko
 
Wanaume km hamtaki kuombwa hela tulizeni kende zenu chini na muache kuwa kwenye mahusiano, halafu muone km wanawake watatoka tu from no where na kuja kuwaomba hela.

Msieeeeeew zenu. Khaaaaaah
 
Pole sana, unapingana na nature, ushawahi kuona mnyama wa kiume anabaki na watoto, afu jike ndio linaenda kutafuta chakula? Waume hilo ni jukumu lenu ku provide.... msikimbie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika kabisa lazima ukweli usemwe, hakna namna, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
N

Sidhani kama kuna mwanaume anaempenda kwa dhati mwanamke wake,alafu akashindwa kumhudumia kwa mahitaji yake ya lazima unless awe hana kabisa hela.
Shida inakuja pale ambapo wewe mwanaume unawaza kuwekeza ila mwanamke wako anakuja na mawazo ya kufuja pesa tu bila sababu za msingi.

Mwanamke ambaye baada ya kutimiza mahitaji yote ya familia na ukaamua kumpa 300k leo za matumizi yake binafsi, baada ya wiki anataka tene100k[emoji28] za kutumiatumia yeye pekeake,mwanamke ambaye ukiwaza kujenga anaona bora muendelee kupanga.Sasa hapo eti ndo ukute unapambana na biashara,unawaza kuwa na watoto bado nyumbani kwenu mama yako anakutegemea utakubali tu.
Nakubaliana na wewe kote. Kotekote. Mwanaume akimpenda mwanamke is always responsible kwake. Yaan wala hahitaji kuombwa.

Pia mwanamke mfujaji hafai kabisa. Ni lama kujaza maji kwenye tenga. Hapo ndipo tatizo huja. Na yote hayo huwa ni tamaa.
 
Kwahiyo wewe kazi yako kwa mmeo ni nini? kutoa mbunye na mapusu tu? au kunifulia nguo, kupika, kulea watoto sio?

Nene yaya gete oo nkema wa geko
U are so bitter. Seemingly hata akala chakula ulichonunua roho inakuuma. Kwa mawazo yangu binafsi bado hujafikia title ya kuitwa A Man.

Halaf the mist funny part ni pale wanaume wanapofikiriaga kazi za nyumbani ni rahisi. Hebu kaa nyumbani mwezi mmoja ufanye majukumu anayofanya mama wa nyumbani kama hutomwamkia kwa magoti. Ufue, upike, uoshe vyombo, udeki, usafi kila kitu, uogeshe watoto uwaandae asubuhi shule etc. Ingekua ni rahisi hivyo musingekua mnakaa kwenye makochi mnachezea simu. U are very selfish.

Nutakachokubaliana na wewe ni wale wanawake wenye tamaa ambao wanataka kuyaishi maisha ambayo si yenu kiuhalisia na ufujaji wa hela. Wale wanaopenda maisha ya kuigiza wale ili kuemdana na status kubwa kwenye jamii or else u need to grow up ndo uje ongea such utterances.

Wanawake naturally wameumbwa wahudumiwe. We are flowers. Nasi zipo huduma tunazozitoa kimsingi ambazo hata useme unazilipia u cant. Give massive respect to your morhers and sisters. Na kama hana cha kumuingizia kipato na una uwezo si umpe mtaji afanye jambo? Mbona unataka kuiua pride ya baba na mwanaume? Hivi tittle ya baba mnaichukulia poa sana ama? U are the provider, protector and everything. Ama ndo 50 kwa 50?

Halaf kama umenitukana kilugha chenu nakurudishia.
Kolya ukundi itoshwa ho tudhu uambe tuksengetrie msoro akle mbatu. Kite cha varimu mwekudhukana ni mkuu
 
Ladies stop dating these boys who don't know its nature for a man to take care of his woman.Thats how you prove your manhood even religious book( Islamic book to be specific remind men their responsibilities).

Speaking of enjoyment during sex... we don't get horny for boys like you never that means we don't even enjoy having sex with you stingy boys. We feel horny only with real men around.

Nb: Excuse my english
Do u beleive u have a role to play in your man success in very aspect of life finance,social and family??
 
Pole sana, unapingana na nature, ushawahi kuona mnyama wa kiume anabaki na watoto, afu jike ndio linaenda kutafuta chakula? Waume hilo ni jukumu lenu ku provide.... msikimbie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida sio ku provide je na provide kwa mwanamke wa aina gani,je anajua wajibu wake kwenye mafanikio yangu
 
Pole sana, unapingana na nature, ushawahi kuona mnyama wa kiume anabaki na watoto, afu jike ndio linaenda kutafuta chakula? Waume hilo ni jukumu lenu ku provide.... msikimbie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The same nature... Dume moja huwa lina majike matano... Na watoto majike wakikua, nao linaanza kuwakamua kabisa...actually, I love nature, men love nature [emoji23]
 
What a thread tatizo linapingana na nature bro.

Niliwahi kujaribu kupingana na hii nature ila hawaviumbe asikwambie mtu when it comes to kupiga mzinga, wako more advance kuliko unavyo fikiri.

Unatumiwa text kadhaa za viwango vya SGR kumuonesha kakufurahisha unamuungia bandle la mwezi, anakununulia zawadi ya boxer, vest au card garama yke haifiki hata elfu 30 halafu anakupiga mzinga wa laki 3 huku kakukumbatia nyuma ya mgongo 'unatokaje!!

Enzi za ujana wangu nilikuwa naona ni bora nimzawadie yule asie nizawadia chochote zaidi ya heshima na penzi, kuliko hawa vipanga anakuletea kizawadi kisha anakuacha na maumivu makali, yaani unatoa pesa mpaka unajiuliza hivi ilikuwaje Y sikukataa au ningempa walau nusu ila basi ndo ishatokea.....

Hawa viumbe anaewajua vizuri ni yule aliewaumba tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haahhahhha haki nimechekaje huku. Kwa hiyo sijui ndiyo mnatukanana kikabila?
U are so bitter. Seemingly hata akala chakula ulichonunua roho inakuuma. Kwa mawazo yangu binafsi bado hujafikia title ya kuitwa A Man.

Halaf the mist funny part ni pale wanaume wanapofikiriaga kazi za nyumbani ni rahisi. Hebu kaa nyumbani mwezi mmoja ufanye majukumu anayofanya mama wa nyumbani kama hutomwamkia kwa magoti. Ufue, upike, uoshe vyombo, udeki, usafi kila kitu, uogeshe watoto uwaandae asubuhi shule etc. Ingekua ni rahisi hivyo musingekua mnakaa kwenye makochi mnachezea simu. U are very selfish.

Nutakachokubaliana na wewe ni wale wanawake wenye tamaa ambao wanataka kuyaishi maisha ambayo si yenu kiuhalisia na ufujaji wa hela. Wale wanaopenda maisha ya kuigiza wale ili kuemdana na status kubwa kwenye jamii or else u need to grow up ndo uje ongea such utterances.

Wanawake naturally wameumbwa wahudumiwe. We are flowers. Nasi zipo huduma tunazozitoa kimsingi ambazo hata useme unazilipia u cant. Give massive respect to your morhers and sisters. Na kama hana cha kumuingizia kipato na una uwezo si umpe mtaji afanye jambo? Mbona unataka kuiua pride ya baba na mwanaume? Hivi tittle ya baba mnaichukulia poa sana ama? U are the provider, protector and everything. Ama ndo 50 kwa 50?

Halaf kama umenitukana kilugha chenu nakurudishia.
Kolya ukundi itoshwa ho tudhu uambe tuksengetrie msoro akle mbatu. Kite cha varimu mwekudhukana ni mkuu
 
Haahhahhha haki nimechekaje huku. Kwa hiyo sijui ndiyo mnatukanana kikabila?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nimempa cash zake (in that mbunge mbaba alikua sijui anamsuta nani bungeni)

Na kama hajanitukana nameza niliyomjibu[emoji23] bila shaka anatafuta mchagga amtafsirie saa hizi. Akiongeza na mimi nitamuongezea pia[emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom