Stop dating mentally broke girls

Stop dating mentally broke girls

[emoji2][emoji2][emoji2]Hata wanaume wengj humu akili zao ni za kutoa tu.. uzi wanaupita.. wanawake wana akili sana.. utatoa tu.. "mtaka cha uvunguni..."[emoji23]
Tunaongelea huyo unayempa ana add value anakumotivate upate zaidi na mituzamo chanya juu ya maisha na penzi lenu? Au anachuma na kuondoka malaya kibao sinza unanunua unamwaga unasepa at low cost with highly care and thanks na namba anakupa ukimfurahisha
 
Hebu turudi kwa wadhamini wetu..........

 
Sio kweli mkuu, mi nikikuomba hela sana ujue nakupenda sana, sitaki kukucheat[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mwanamke anaenipenda sana,ataniomba hela sawasawa na misuli yangu ya kiuchumi. Ukiniomba hela bila kuangalia hali halisi ya uwezo wangu utakuwa unanikomoa. Emagine mwanamke yuko tayari ukakope Ili uje umpe yeye,na si kwamba anaenda kuizalisha ile hela ni kwamba anataka akaspend kama wale anaowaona kwenye instagram 😂.
 
Tafuteni zenuu, punguzeni uombaomba... Mungu hakuwaumba maombaomba
Ukiona mwanamke anakuomba hela ujue kuna bond ipo kati yenu, sio from no where afu akuombe haiwezkan,

Na nyie acheni kuwa vitombi, mbaki na hela zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Punguza hasira... Tafuta helaa, uombaomba sio mpango wa Mungu kwako [emoji23]
Ukute mijanaume yote ilocomment humu 80% mama zao ni wale housewives. Mama angalia familia baba katafute.
Sasa wanakazana kutukana

Wahala dey for us who no got money[emoji1787]

Let me come and be going[emoji1493][emoji1493]
 
Unampa, unapita naye kama upepo, baada ya hapo humpi tena... You move to the other one!!
Mdogo wangu ungefunga ndoa na sabuni tu,
La sivyo hela utaombwa tu na kama hutoi utaishia kutuita Mashemeji.
 
Ukiona mwanamke anakuomba hela ujue kuna bond ipo kati yenu, sio from no where afu akuombe haiwezkan,

Na nyie acheni kuwa vitombi, mbaki na hela zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukiacha ,nyie mtatou.mbwa na nani?
 
Pole sana, unapingana na nature, ushawahi kuona mnyama wa kiume anabaki na watoto, afu jike ndio linaenda kutafuta chakula? Waume hilo ni jukumu lenu ku provide.... msikimbie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lions & Lioness [emoji881]
 
Back
Top Bottom