miss pablo unanitia hasira ungekuwa karibu yangu ningekuzaba mubao mmoja matata [emoji848] mods sorry kama sheria za humu haziruhusu ila sijatukana, wee kisichana
miss pablo mpaka karne hii bado unawaza tu wewe ni ua?
Kwamba usifanye chochote kuchangia kiuchumi, mimi na mke wangu tukitoka tunajitambulisha kama family sisemi mr fulani na ua langu, na ninajisikia fahari naamin hata siku ikitokea sipo duniani kina Sumayi na Susana wataishi hawataenda kusumbua ndugu zangu coz mama yao nae ni mpambanaji
Harafu sisi tumezaliwa wakiume watano wakike wawili na bahati nzuri au mbaya wakike walipangana mwishoni, baba mwalimu mama nesi na hatukuwa na beki tatu kazi zote sisi kudeki, kupika tumekulia kijijini mara moja moja kipindi mzee anaishi nyumba ya shule kuni na maji tuliletewa na wanafunzi ila alipohama tulifuata sisi kuni porini (kama umewahi kuishi Geita utakuwa unapajua Kasamwa kuna pori la mkangala ) umbali kama km 6 kutoka home
Umetoka homu saa 12 asubuhi kurudi saa 8 mchana, unafika kupika, uoshe vyombo ufue nguo zako
Harafu unaleta story za kazi za nyumbani wewe? Chamsingi ni kufanya kazi kwa ushilikiano, yaani nyie wadada mnazidiwa mpaka na wanyama ndege jike anachangia ujenzi wa nyumba hakai tu kusubiri dume lifanye
Mnaleta u slay queen kwenye hamna, kwamba kama una kikazi kinakuingizia eti za kwako za nani ndo za wote? Tumeungana ili iweje unizalie? kwani siwezi kupata watoto bila ndoa? sipati tendo bila ndoa? nimekuoa unisaidie sio unipe stress
Una bahati upo mbali wewe hiiiiiiiii ningekutwanga mkofi nikulipe